Wakuu natafuta audio ya huu wimbo Nachechemea. Nakumbuka uliimbwa na Fresh Jumbe (Wana Skinde ngoma wa ukae -sijui kama nimekumbuka vizuri). Nakumbuka Makamba wakati huo akiwa mkuu wa mkoa wa Dar alikuwa anaupenda sana, ukipigwa akiwa kwenye sherehe alikuwa anaserebuka kiaina.
Mwenye audio yake tafadhali anirushie!!