Hahahhaaaa usijali Mwajei ...
Kwanza naanzia wapi kumgawa, mwenzio moyo si unandundia tu pale?...lol
huu uzi wako bana umenifanya nifikiri kidogo na nimejifunza kwamba kuna hata mambo mema tunayafanya kwa wenza wetu ila yanakuwa kero na tunapaswa kuji adjust kwa kiasi fulani....
Kwamba si mabaya tu/udhaifu wetu tu amabao tunapaswa kuufanyia kazi!
Heheheeee biggy asante, kichwa kikizidi mwili una hela ya kunipeleka India au tutaanza kutembeza bakuli? Athari za kusifiwa ....Hii ni abstract ya kitabu gani B?
Imejitosheleza hadi inaleta raha.....
I am proud of you my little sis!!
Babu DC!!!
(halafu upunguze kujificha/fichwa)!!!
Heheheeee biggy asante, kichwa kikizidi mwili una hela ya kunipeleka India au tutaanza kutembeza bakuli? Athari za kusifiwa ....
Kufichwa bado kidogo tu sasa hivi najificha tu
Khaa!! Ndo utucheke sasa?Hahahahahahahahah,
Shida mwapenda kufanya tu....hamchukui time kuona kama kuna walau 20% inarudishwa kwenu pia!!
Babu DC!!
Khaa!! Ndo utucheke sasa?
Kwa hiyo tupange, tutekeleze na tutathmini?
Lakini biggy kuna ubaya kumfanyia laaziz wangu jambo bila matarajio ya kulipwa?
Kwanza kwa nini umfanyie hayo ambayo haulipwi in the first place?
Yaani katika kitu nichojifunza na kilichonifurahisha pia ni kujua kuwa wakaka wengi wa JF hence Tanzania kutopenda mapenzi ya kibwanyenye. Yaani ninawaappreciate sana!
Nafikiri ni vibabu ndivyo vilivyokuwa vinapenda kutumikiwa kama wafalme (labda ukoloni na umwinyi uliwaaffect), nimeona michango mingi from Bwa'Nchuchu, Dark City, Mbu, (@The Boss ana kaumwinyi fulani) na wengine; l salute you guys!
MwanajamiiOne asante kwa Uzi huu, frankly speaking mara ya kwanza nilivyosoma nikajisemea kimoyo moyo, here comes Miss Too Nice, Too Humble, 'Perfect Wife' material again (ndivyo nilivyokuona kabla ya kukufahamu vizuri). It took a while kutia neno; l have learned a lot n good thing is l like what l have learnt!
era ya usawa na gender equality?- siaminigi hivi vitu....ilaheshima muhimu na ni mtazamo tu wa mtu kukubali heshimaza kupiga magoti na mwingine huona si lazimaau haina maana cha muhimu umuheshimu kwa dhanti.....usije fanya maigizo...nadhani naiweka hivo..ni maellewano yenu au mlivozoeshana au pia ulilelewahivoWapendwa
Ninawapenda, naomba mnisaidie............ Ni nini nafasi ya 'heshima' ndani ya mapenzi.
Samahanini ninauliza hivi kwa sababu nimejikuta kwenye dilema. Wote mpenzi wangu pamoja na marafiki zangu wengi wamekuwa wakipinga ile dhana ya 'heshima' kwa mpenzi wangu. Ninajaribu kuwaelewa ila naona kama nazidi kuchanganyikiwa.
Inakuwaje kwa mwanamke anayeamini kwenye 'kuonyesha heshima' kwa mpenzi wake as one of the vionjo vya mapenzi ambavyo vinamfanya yeye ajisikie vema ilhal mpenzi wake au marafiki zake wanaona 'haina maana'? Mf. Mie nikiamini kuwa kumheshimu mpenzi wangu kwa kupiga goti (kama malezi yangu yalinifunza hivyo), akiingia kumpokea na hata kumvua koti, ha hata viatu na vijipole vya hapa na pale...........
I wapi nafasi ya 'heshima' kama hii kwa mwenzi wako? Je tunaitafsirije hii ndani ya era ya usawa na gender equality?
Natanguliza samahani kama nimekosea , nieleweni tu mwenzenu mie wa 1947.
Jamani BAK where are you brother?...Mkuu MJ1 mie sioni tatizo kabisa katika hili ila hawa wa "siku hizi" kufanya unyenyekevu kama huu kwao wao ni kama utumwa. Fanya kile ambacho moyo wako unapenda ali mradi tu hakimkinaishi mpenzi wako. Ukosefu wa heshima ndani ya mapenzi ndio chanzo kikubwa za ndoa nyingi kuvunjika katika miaka hii ya karibuni maana kila mtu ni mjuaji hakuna anayetaka kujishusha au kupeana heshima zinazostahili ndani ya ndoa/mapenzi.
Atakuja tu hapaJamani BAK where are you brother?
Haya tunamsubiriAtakuja tu hapa
Mwanajamii jamani naona kweli unaturudisha zama za kati za mawe kwa kina nyungu ya mawe..
Heshima ni kuheshimiana ila kama wewe unaona style yako ni kupiga goti mpaka chini ni powah tu kunogesha chachu ya penzi lenu..Kumpokea na kumvua koti ,kumvua viatu Nk nk ..
Mie nikianza leo mmmh labda ...
Cha msingi namheshimu ,nampenda na kumthamini kwa dhati..(hapa pamebeba mambo mengi yanayofanya aione heshima yangu kwake ..)