Especially kama uhusiano ulikuwa stuborn na unahis nafuu baada ya kuudrop.
Inafahamika kwamba kuwa ktk mapenzi katika hali zote iwe ya heri au ya shari inaconsume muda na akili ya kufanya mambo ya ziada na hata ya msingi kutegemea na uwezo wa kuhandle stuatiation yenyewe.
Mbaya zaidi uwe ktk false stuation, inaeleweka, itakuwa si kubweteka ila utakuwa confused, hutaweza kufanya mambo ya maana.
Km ulikuwa ktk false stuation relation, ukitoka, si tu utaweza kufanya kaz nyngi kwa wepes bali utagundua pia kuwa baadhi ya mishipa yako ya dam ilikuwa haifany kaz, ilizima, ni wakati huo huwa unapotoka ktk uhusiano negative, mishipa yako itafunguka na utaweza kufanya mambo mengi kwa wepesii,
Labda km sikuelewa swali lake.