Nimekuwa mpenzi wa hili jamvi,na leo nimeamua kupiga hodi nikaribishwe kikaoni badala ya kuwa mshuhudiaji kwa mbali.natumaini kupokelewa na kujifunza mengi toka kwenu.
asante ndugu yangu.Karibu sana aisee! hapa ndio JamiiForum The great thinkers.
Nakupokea kwa matatu mazito PWA, PWA, PWA.