Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

Bwana wetu Yesu Kristo hakuwa na dini kwa hiyo hakuhitaji kubadili dini.Yeye yuko juu ya dini.Dini ni mawazo ya binadamu tu, kwa hiyo hayana uhusiano na Bwana Yesu.Na kuhusu kuokoka, yeye hakuhitaji kuokoka,kwa kuwa yeye mwenyewe ndiye huo wokovu.
Hivi Yesu pamoja na kupata majaribu yooote hayo alibadiri dini na kuokoka? naomba nijibiwe tafadhari.
 
Ndg. Gentamycine, umenipa mashaka sana kwa hasira zako naanenoachafu,
Umeulizwa kuhusu mtumishi wako Gwajima anatoka wap tena? Una uthibitisho gan kua anatembea na wake za watu?
Hujapona kiroho wewe na huna badiliko
 
soma Mathayo 24 yote mkuu, haya ya kina mtume mara nabii mara mtuume na nabii fulani hayatakuumiza kichwa wala hayatakushangaza, Biblia imeeleza yote , "...WATATOKEA MANABII WENGI, WA KWELI NA WA UONGO NA WOTE WATATENDA MIUJIZA...." hayo hayanabudi kutokea, na ukianza kuona dalili hizo ujue MWISHO WA DUNIA UNAKARIBIA.


 
mimi haya mafundisho ya kusema fuata neno usifuate matendo ni ya kipuuzi maana Yesu alisema tutawatambua kwa matendo yao

Acha kumuhukumu mtu, kila mtu anayake kabeba moyoni, nivema mtu kujisafisha nafsi yako kuliko kumwona mwingine mdhambi.
 
Hata mimi nimepata mshangao mshana,

Huyu sio nabii wa Mungu huyu ni nabii wa kuzimu, malkia wa kuzimu mwenye sura ya binadamu... Hili Nalisema wazi na kwa uhakika, angalia 👑 yake ni satanic crown angalia imenakshiwa na 🎀 ribbon ya pink, tafuta asili ya rangi ya pink, gauni lake ni rangi nyeusi ya kumetameta ina maana kubwa sana kuzimu, nyusi kazitinda na kuziongezea urefu ni Mulemule....... Nitakuja na picha
 

aisee mr P umefunguka ile ile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…