Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 240
Hivi Yesu pamoja na kupata majaribu yooote hayo alibadiri dini na kuokoka? naomba nijibiwe tafadhari.
yesu hakua na dhehebu, alikua mkristo alie kamili
Katika ubora wao. Pale naona usanii tu wa dada wa mujini
Nimefurahi Sana Na Mno Ulivyoweka Hii Picha Ya Mama Yangu Wa KIROHO Mtumishi Wa Mungu Na Mpaka Mafuta Nabii Flora Peter.
picha yake imenitisha, najipongeza kutohudhuria makanisani japo naamini ktk imani ya kikristo
Ulilazimishwa Kwenda? Pepo Wewe!
duh Mungu huyu
Ninamjua Huyo MTUMISHI Wa Mungu Tokea Akiwa Kigamboni, Kisha Kwa Mzee Willy Pale Mbezi Beach Maguruwe Na Mpaka Alipoanzisha Kanisa Lake Salasala. NINAMKUBALI 100% Kwani MAFANIKIO Yake KIMAOMBI Ni MAKUBWA Na Hayaelezeki Na Tokea NIMFAHAMU Sijawahi Kuona Mtu AKIENDA KWAKE NA ASIFANIKIWE. Lakini Pia TUSISAHAU Kuwa Dini Pia Ni IMANI Ya MTU Na Jinsi UNAVYOJIACHIA Kwa Mwenyezi Mungu au Yesu Kristo. Kwa Mfano UNAKUTA MTU ANAENDA KUOMBEWA LABDA APATE MUME NA MTUMISHI WA MUNGU AKIMWOMBEA NA KUMTAKA AACHANE NA UMALAYA YEYE AKIRUDI TU KITAA MWENDO NI MDUNDO KWA WAUME ZA WATU Je Hapo UNATEGEMEA NINI MKUU? Nabii Flora Peter Ni MTUMISHI Wangu Na Namkubali Hadi Sijui Nisemeje Na Nahisi Nina DENI La Kumlipa Kwa Maombi Yake Ya UHAKIKA Kwangu Na Jinsi Mambo Yangu Yanavyozidi KUNYOOKA. Najisikia Mwenye Furaha Mno KUSALI Kwa Nabii Flora Peter Na Nichukue Nafasi Hii Murua Kuwakaribisheni Na Wengine Wote Ambao Mna IMANI HABA. Mtasikia Mengi Na Mtadanganyana Sana ILA Ushuhuda Wa Maombi Ya Nabii Flora Peter HAUELEZEKI. Namalizia Kwa Kusema " Kwa Msaada Wa Mungu Tutatenda Makuu Kwa Maana Bwana Atawakanyaga Watesi Wetu Zaburi 60:12 Na 108:13 ".
Nabii Frola Peter anatenda asee!...kuna siku nakumbuka tuko kanisani kwake aliombea maji ya uhai yakawa asali tamuu...
Mtumishi wa Mungu anajikoboa atawafundisha nini huyo
ni kweli mtumishi uyu anatumia mafuta ya mzaituni tokea Israeli? Ni kweli mtumishi uyu anatumia sabuni? kuwapa watu? vizuri umejitokeza hapa kusema unamfahamu mtumishi uyu! je kabla ya utumishi alikuwa wap anafanya nn? huduma ya utumishi wake ilianza lini kabla ya kuanzisha kanisa lake? mbezi? huko kigamboni alikuwa mtumishi kanisa gani? kutokana na watu kuwa na hofu ya kwamba siku za mwisho kutakuwa na manabii wengi wa uongo! kufuata mafuta yaliyopo kwa mafuta kwa mtumishi kwangu mimi sio dhambi! maana watu walimtafuta Yesu popote alipo! na ni kweli ufalme wa Mungu hutekwa na wenye nguvu! sina nia ya kumnyooshea kidole wala kumsema vibaya! ila nina maswali yangu naamini wengine pia wanayo! naamini mti wenye matunda unapigwa mawe na watu wabaya na watu wazuri tena! pengine ni kitu kigeni sana! hapa Tz kuona nabii mwanamke mwenye mafuta! tukirudi kule juu Mungu alisema tuichunguze kila roho! kabla ya kuiamini naamini pia si dhambi! ivyo kwa maneno hayo! je wewe mwenyewe binafsi kabla ya kuombewa na kufanikiwa je ulishachunguza ukajidhiririsha mtumishi uyu roho inayofanya kazi ya miujiza au uponyaji kweli ni ya Mungu? kwann kumekuwa na negative sana kuusu uyu Mama nabii? tungejua historia ya mama uyu pengine ingesaidia kuondoa uzushi uliopo? watu wanamshutumu juu ya ngozi yake ya uso! wanamshutumu juu ya nguvu za kuponya na miujiza si za Mungu aliyehai! je ni sababu ya ngozi yake ya uso? je ni sababu anavyovaa! naamini sijaingia katika kumnyoshea kidole nipo katika ile inaitwa " zichunguzeni kila roho" kuna huduma moja ambayo anayo huyu mama ya "delivarence kwa kutumia damu ya Yesu" makanisa mengi yanajua lakini mengi hawayatilii maanani instead wanaanza kuombea kwanza kabla ya vifungo vyote vya nyuma kuachia! je ndo sababu ya kufanikiwa maombi yake! embu endelea kufunguka mdau!
picha yake imenitisha, najipongeza kutohudhuria makanisani japo naamini ktk imani ya kikristo