Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 240
Kwa mda mrefu nimekuwa nikisikia kuusu nabii flora na mambo anayoyafanya! kabla ya kumreccomand mtu aende, waliowahi kwenda embu tupe ushuhuda ipo miujiza kweli? upo uponyaji kweli?
Je ipo katika misingi ya Mungu wa mbinguni! yani yule Mungu wa Meshack Shedrack na Abednego? toa maoni bila kutukana huduma ya watu bila kumtukana mtumish uyo! nataka expirience tuu kwa walioenda kama hujaenda usijeandika Mungu akakulaani.
je ni kweli anatumia sabuni iliyoombewa kama njia ya kuleta uponyaji na miujiza? je anatumia mafuta ya mzaituni kutoka Israeli kama njia ya kuleta miujiza na uponyaji?
Kwa wanaojua je sabuni kutumika kulete miujiza au uponyaji kuna mtu mwenye maelezo juu ya ufunuo huo! ingawa si wa kwako ndio lakini unaweza kuelewa! katika bible lakini.