Nabii Catherine Ntepa

Biblia imekamilika katika unabii wote kwa kile ambocho Mungu anataka tufanye, hao wanaojiita manabii kwa sasa ni manabii wa uongo wakubwa. Wanawadanganya wanaodanganyika.
 
Hapa mtaani kwangu kuna Jamaa anaroho ngumu sana, Ana kikanisa amekodi sehemu Kila j2 wamasali watu 6 tu yeye na mke na watoto wake, ajabu ni moja speaker zinazofungwa pale mziki mtaa mzima, sasa watu 6 ambao mkiongea Mnasikilizana vizuri tu, kelele za nini?
 
Yesu mwenyewe katamka " watakuja manabii wa uongo, watatoa miujiza mingi , lakini msisadiki, na hapo ndo ntakuwa nakaribia kuja"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…