Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Kwa hiyo ina maana kwamba wito unapotea taratibuuuuFursa! Acheni kulalamika.
hukiona hivyo ujue yesu anakaribia kurudiHawa manabii mbona wamekuwa wengi sana siku hizi [emoji20][emoji20]
Kweli mkuuhukiona hivyo ujue yesu anakaribia kurudi
chukua hatua sasa
Mi sikumbuki,lakini hata kama alikuwa mshiriki wa BSS hiyo haimfanyi ashindwe kuwa mtumishi wa Mungu.Makubwa huyu nae siku hizi amekuwa nabii. Si alikuwa mshiriki wa BSS au wadau mmemsahau
Hakuna unabii hapo ila maisha yamempiga akaona akimbilie kupiga dili kanisani