Nabii Bashando awalilia waliotekwa

Nabii Bashando awalilia waliotekwa

Aachen unafiki. Kipindi cha jiwe wametekwa watu wengi, hakuna aliye inua pua
hahaha unacheza kulingana na biti ilivyo. wakati wa singeli cheza singeli, biti la reggae chega rege. usije kuwa kama masai anaweza cheza kwaya katikati ya singeli
 
Aachen unafiki. Kipindi cha jiwe wametekwa watu wengi, hakuna aliye inua pua
Kwa maana hiyo unataka watu wakae kimya wtekaji waendelee? Au hukuona wakati Roma ameteka RC Makonda alipaza sauti hadi kutoa muda sahihi ya Roma kuachiwa?
 
hahaha
 
Back
Top Bottom