kikonyoro JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 715 Reaction score 331 Sep 10, 2015 #21 dakitare said: Duh hivi kanisa LA ufufuo lina nabii mwingine zaidi ya gwajima? Na kama ni huyu gwajima si ndio anampigia Edo upatu!!! Sasa inakuwaje hapo sijaelewa? Click to expand... hilo linalozungumzwa kwa jina lingine linaitwa siloam linaongozwa na nabii mnuu
dakitare said: Duh hivi kanisa LA ufufuo lina nabii mwingine zaidi ya gwajima? Na kama ni huyu gwajima si ndio anampigia Edo upatu!!! Sasa inakuwaje hapo sijaelewa? Click to expand... hilo linalozungumzwa kwa jina lingine linaitwa siloam linaongozwa na nabii mnuu
W wakushanga JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 552 Reaction score 94 Sep 10, 2015 #22 Vp kuhusu lile la nigeria alilokwenda edo akaambiwa anaupako wakuwa kiongozi wa nchi ni la kweli?
M Mayambo New Member Joined Sep 6, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Sep 10, 2015 #23 Hilo Ndo pweza la tz