Nabii asiekubalika nyumbani

Ezekiel kamwaga ni watu wenye busara na hakima tu wenye uzalendo wa kweli ndo wanaweza kukubali anachofanya huyu zzk au maada ulioandika mfano vijana wanakwambia ubora machafuko kuliko amani wanaona Sudan ya kusini
Mtakesha sana kumsafisha mitandaoni lakini mtakwama tu!.. Zitto ni msaliti... Zitto ni fisadi!
 
Mti wenye matunda mazuri, kupopolewa ndiyo jadi yake! Bravo Zitto.
Kwa nini watetezi na mashabiki wake muwe pia mashabiki wa CCM?
 
Hivi wewe unawajua vijana? Vijana wana sura zilizokomaa na kuwa na vipele kama Zitto na Mwigulu?!
 
Subirini kuaibika na zzk wenu. CDM inazidi kuendelea na inakubalika kama unavyoona bungeni sasa bila zzk. ambaye ameanza kutoweka katika siasa.
 
Sio magamba tu hata magwanda mnamkubali kiaina.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Jack ile staili ya uchukuaji pesa kule CRDB mwaka jana ilinitisha kidogo halafu hii isije ikabumburuka vyombo vya habari vipo makini kweli sasa hivi" Anajibiwa na Bwana Zoka kuwa "Tunazo njia nyingi sana ambazo si TAKUKURU wala polisi wanaoweza kubaini, tusikilize sisi, tutakacho kuambia ujue ni salama, Haya Mr (Zitto) wewe unayajua mazingira vizuri katika nchi moja ya Ulaya?, au unaweza kutafuta mtu unae mwamini huko ili atumiwe yeye hiyo pesa na awe wa kuaminika ili tumtumie kwa vipindi hivi vyote, kisha uifuate huko au uangalie mwenyewe njia sahihi ya kuichukua huko" Suala la kumpata mtu Ulaya lilionekana kama zito kidogo kwa Zitto, kwani aliomba wawasiliane kesho yake ili awe na jibu la uhakika.
 
Huwezi kuliziba jua na ungo kaka aliepewa kapewa hata ukimchukia vip jamaa nijembe mzalendo mwenye nia na moyo wakuwatumikia watanzania
Kitila anasema .....Ustahimilivu: yaliyotajwa katika‘d’ na ‘e’ hapo juu yanaashiria tunayemtaka si mstahimilivu sana sifa ambayo inahitajika sana kwa kiongozi.
Rejea waraka wa usaliti wa mapacha watatu!
 
Huwezi kuliziba jua na ungo kaka aliepewa kapewa hata ukimchukia vip jamaa nijembe mzalendo mwenye nia na moyo wakuwatumikia watanzania

Usimjadili Zitto, jadili hoja zake!

Haya timizeni maagizo ya kitila mkumbo katika waraka wa usaliti.. Rejea waraka wa USALITI wa mapacha watatu huu hapa: ....
 
Zitto Kabwe; Nabii asiyekubalika nyumbani?
Ni Zitto ambaye amechochea vijana wengi kujiunga na siasa katika miaka ya karibuni. Miaka kumi iliyopita, Bunge lilikuwa ni taasisi ya wastaafu na wateule wachache waliodumu kwa miaka mingi.

Hongera sana kwa kutimiza maagizo ya Kitila Mkumbo kama yanavyosomeka kwenye waraka wa USALITI!:
 
Mtakesha sana kumsafisha mitandaoni lakini mtakwama tu!.. Zitto ni msaliti... Zitto ni fisadi!

Hata kama zitto angekuwa ccm, angewageuka hata wao pia. Hiyo ni moja ya itikadi zake yaani anapenda aonekane tofauti na wenzake ili aonekane ni bora kuliko wenzake hata kama amekalia kuti kavu. Huyo ndiye Zitto.
 
Ana hakiri, mpambanaji, anajua anachokifanya, mtetezi wa wanyonge, hapendi kuonewa, Zitto huwezi kumfananisha na Mbowe au babu slaa!
Wafuasi wengi wa Zitto elimu ndogo na Ajira hawana ndiyo maana wanabangaiza kusaka tonge!... Hivi hata neno,"AKILI" lina ugumu gani kuandika?
Suala la Mbowe na Slaa na "UBABU wake ni msimamo wa Zitto! Angalia waraka wa usaliti:

Cha ajabu maneno haya haya yamo katika waraka wa Nape dhidi ya Slaa!.
 
Zitto goo Zitto goo! Acha waendelee kufanya biashara ya mapera.
 
Hata kama zitto angekuwa ccm, angewageuka hata wao pia. Hiyo ni moja ya itikadi zake yaani anapenda aonekane tofauti na wenzake ili aonekane ni bora kuliko wenzake hata kama amekalia kuti kavu. Huyo ndiye Zitto.

Mkuu huo ndio ukweli hata huko ktk chama kipya walichoazisha WATAMKOMA kwa tabia zake! time will tell
 

Akili za kuambiwa changanya na zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…