Nabi afukuzwe haraka Sana

Wakuu mimi ninaona ni bora MAMA atoe kauli kulekule china alipo kuwa THIMBA itumwe tunisia kusawazisha mambo la sivyo.....................
By;in association with kipanga
 
Mkuu hatuzungumzii historia wala ukubwa wa team. Tunazungumzia mechi ya leo. Uwezekano wa kushinda ulikuwa mkubwa tu. Kocha na Team kwa ujumla wametuangusha.
Uwezekano ulikuwa wapi mkuu
 
Mashabiki wa Yanga walishajua ndo maana hawakuonekana Uwanjani
 
Kwanza, msiingie ukichaa wa kutaka kuchagua timu ya kukutana nayo.

Pili, mnakumbuka msimu ule shafii dauda anawaita simba underdog walipoingia makundi, kwann walifuzu robo fainali huku wao wakiwa ni underdog wa kundi?

Tatu, unakumbuka mwaka ambao simba aliongoza kundi mbele ya al ahly, as vita na el mereikh, simba alimfunga vita nje ndani. As vita ile ilikuwa na moloko, mayele, juma shaban na wenzao ambao leo wote ni yanga

Hivyo; tatizo la yanga la kwanza kabisa ambalo wengi hamulioni ni kuhamisha as vita iliyojichokea mkaileta yanga af mkajipongeza kuwa mmesajili ili kucheza kimataifa

Hitimisho
Ukitaka kuwa mkubwa lazima uwafunge wakubwa, hapo ndipo nawe utaitwa giant na kuanzia hapo utakuwa unapangiwa timu za kawaida katika hatua za awali maana formula ni kibonde lazima apangiwe na giant na lazima aanzie kwake, yanga kimataifa bado anahesabika kuwa ni kibonde ndio maana anapangiwa na giant kama kanuni zinavyotaka, hakuna namna ya kuikwepa hiyo bali lazima uwazibue hao giant uongeze point ili ufikie ugiant utakaokupa sifa ya kupangiwa hao wamakonde unaowasema wewe
 
Nilitamani sana kumjibu huyo jamaa nashukuru umemaliza kueleza.

Vibonde hawawezi kupangwa pamoja.
 
Afukuzwe??mnaweza kudhamiria kumfukuza..je pesa ya kumlipa kwa kuvunja mkataba mnayo?! Ugumu upo hapo
 
Kama uliangalia mechi huwezi kuuliza swali la namna hii. Au basi pitia statistics za Azam sports
Statistics gan zile za mchongo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Statistics gan zile za mchongo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Azam media wanatoa statistics za mchongo? Ulielewa hata nilimaamisha nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…