SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
Ngoja akusikie Tate Mkuu akushukie kama mweweMimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga.
Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu.
Tuna kundi la wachezaji tu
Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing room hana ushawishi wowote..
Unashindwa kumuanzisha Moloko unaanza na Kisinda?
Morrison iyo mechi alikuwa anafanya nn jaman?
Wachezajiafaza watupu wanalelewa tu pale yanga? Aucho anamuwekaje nje Sure boy?
Baka sioni beki wa kumuweka nje pale yanga!!!
Mpeni hata Mkwasa hii timu muone moto wake!!
Nabi asipofukuzwa kesho narudisha kadi ya uwanachama Bora nibaki kwenye soka la ulaya tu
Siwezi kuendelea kushabikia takataka hizi!!
mpumbavu wewe usiyekuwa na shukraniMimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga.
Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu.
Tuna kundi la wachezaji tu
Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing room hana ushawishi wowote..
Unashindwa kumuanzisha Moloko unaanza na Kisinda?
Morrison iyo mechi alikuwa anafanya nn jaman?
Wachezajiafaza watupu wanalelewa tu pale yanga? Aucho anamuwekaje nje Sure boy?
Baka sioni beki wa kumuweka nje pale yanga!!!
Mpeni hata Mkwasa hii timu muone moto wake!!
Nabi asipofukuzwa kesho narudisha kadi ya uwanachama Bora nibaki kwenye soka la ulaya tu
Siwezi kuendelea kushabikia takataka hizi!!
Babuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga kupata goli ngumu sana,labda wapeweMomeshangaa sana leo hii yanga kushindwa kupata goli kwq vibonde kama hawa ambao hata wachambuzi wote wa bongo waliwadisi
Unbeaten ya 46 leo kocha mwenye records kama hyo mnataka mumfukuze subirini kwanza amalize mechi ya tunisiaMimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga.
Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu.
Tuna kundi la wachezaji tu
Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing room hana ushawishi wowote..
Unashindwa kumuanzisha Moloko unaanza na Kisinda?
Morrison iyo mechi alikuwa anafanya nn jaman?
Wachezajiafaza watupu wanalelewa tu pale yanga? Aucho anamuwekaje nje Sure boy?
Baka sioni beki wa kumuweka nje pale yanga!!!
Mpeni hata Mkwasa hii timu muone moto wake!!
Nabi asipofukuzwa kesho narudisha kadi ya uwanachama Bora nibaki kwenye soka la ulaya tu
Siwezi kuendelea kushabikia takataka hizi!!
Kweli kabisa simba angekutana na zalan angekufa nyingiWew ni Simba na unapenda kuona Nabi anaondoka maana tangu Nabi awepo Yanga imeimarika sana mpk sasa ni unbeaten 45 Nbc premier League, Kimataifa Yanga hatua hii imekutana na team zenye uzoefu na uwezo hata kifedha za uarabun, kama Yanga nayo ingekutana na team za kusin wamakonde kama wale wa Angola angeshinda tu
Mechi za kunujua marefa na mabekiWew ni Simba na unapenda kuona Nabi anaondoka maana tangu Nabi awepo Yanga imeimarika sana mpk sasa ni unbeaten 45 Nbc premier League, Kimataifa Yanga hatua hii imekutana na team zenye uzoefu na uwezo hata kifedha za uarabun, kama Yanga nayo ingekutana na team za kusin wamakonde kama wale wa Angola angeshinda tu
Acheni mihemko..Mimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga.