technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,641
- 58,369
Kwani zalan ni ya wapiWew ni Simba na unapenda kuona Nabi anaondoka maana tangu Nabi awepo Yanga imeimarika sana mpk sasa ni unbeaten 45 Nbc premier League, Kimataifa Yanga hatua hii imekutana na team zenye uzoefu na uwezo hata kifedha za uarabun, kama Yanga nayo ingekutana na team za kusin wamakonde kama wale wa Angola angeshinda tu
Kwani unachagua wa kukutana naeWew ni Simba na unapenda kuona Nabi anaondoka maana tangu Nabi awepo Yanga imeimarika sana mpk sasa ni unbeaten 45 Nbc premier League, Kimataifa Yanga hatua hii imekutana na team zenye uzoefu na uwezo hata kifedha za uarabun, kama Yanga nayo ingekutana na team za kusin wamakonde kama wale wa Angola angeshinda tu
Weusi wenzetu maskin kama Bongo hawana umeme na maji kama sisi ndio maana tulishinda..Kwani zalan ni ya wapi
Yaan intelligence tayar ushaonekana wew ni kolo, ulijifanya Mwananchi kumbe unazingua 😂😂Kwani unachagua wa kukutana nae
Bingwa wa kweli hachagui timu ya kucheza nayo, aje Orlando Pirates, Al Ahli Al Hilal, Vita, Berkane, Kaizers Chief, Asec Mimosa, Zamalek, you name it... kwa Mkapa hatokiWew ni Simba na unapenda kuona Nabi anaondoka maana tangu Nabi awepo Yanga imeimarika sana mpk sasa ni unbeaten 45 Nbc premier League, Kimataifa Yanga hatua hii imekutana na team zenye uzoefu na uwezo hata kifedha za uarabun, kama Yanga nayo ingekutana na team za kusin wamakonde kama wale wa Angola angeshinda tu
Unbeaten za mchongo hizo,ndio maana mnachemka kimataifaWew ni Simba na unapenda kuona Nabi anaondoka maana tangu Nabi awepo Yanga imeimarika sana mpk sasa ni unbeaten 45 Nbc premier League, Kimataifa Yanga hatua hii imekutana na team zenye uzoefu na uwezo hata kifedha za uarabun, kama Yanga nayo ingekutana na team za kusin wamakonde kama wale wa Angola angeshinda tu
For sure. Naona kabisa kuwa urahisi kwetu ulikuwa kwa Al Hilal. We had a concrete chance but we bottled it. Hapa ni kupoteza tu muda.Ushindwe kwa Al Hilal ukamfunge Club Africain, hapana, sio kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlete Nabbi.
Mimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga.
Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu.
Tuna kundi la wachezaji tu
Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing room hana ushawishi wowote..
Unashindwa kumuanzisha Moloko unaanza na Kisinda?
Morrison iyo mechi alikuwa anafanya nn jaman?
Wachezajiafaza watupu wanalelewa tu pale yanga? Aucho anamuwekaje nje Sure boy?
Baka sioni beki wa kumuweka nje pale yanga!!!
Mpeni hata Mkwasa hii timu muone moto wake!!
Nabi asipofukuzwa kesho narudisha kadi ya uwanachama Bora nibaki kwenye soka la ulaya tu
Siwezi kuendelea kushabikia takataka hizi!!