NABAKI AFRIKA ni matapeli?

hiked price-bei ya ulanguzi kwa kiswahili jamani khaaaaaaa
 
Mkuu, bora ungeweka comprehensive list ya kila bidhaa unazotuhumu pamoja na manufacturer/brand/model/ ili ikiwezekana wahusika washughulike.
Asante kwa ushauri mkuu , nitalishughulikia hili.
 
Si anakuja MZUNGU anakomba madawa yote, kuna tatizo gani yeye kaona fursa wewe umeona nn?
Kweli usingizi wa pono katika masuala ya fair business practice umewakamata vilivyo.

Mkuu hata ukiamshwa unakataa kuamka, hakuna jingine, endelea kulala!
 
kwani hilo neno 'hike' halipo katika msamiati wa Kiswahili? Tuache kujikosha

Wewe mbona mgumu hivyo?
Si ulishaambiwa "bei za mwendo wa kuruka" pale juu, sasa unataka kiswahili gani tena, au ubishi tu?
 
Ila vigae vyao ni quality kweli kweli!
nikikaangalia ka kibanda kangu kaliko ezekwa kwa vigae vya Decra, roho yangu inasuuzika kabisa nasahau gharama zote nilizo tumia kuezekea!
 
Kweli usingizi wa pono katika masuala ya fair business practice umewakamata vilivyo.

Mkuu hata ukiamshwa unakataa kuamka, hakuna jingine, endelea kulala!
Kweli Mkuu, nina haki yakuendelea na usingizi wangu, Kwa nchi kama yetu hakuna haja yakuamka kwani wenzio wote wamelala, FAIR business practice ni kifungu gani huko wizara ya viwanda na biashara? Maana hapo Mlimani City tu kodi ya pango kwa vigae vinne (1sqM) ni $27 za kimarekani bado ankara za maji na umeme zinalipwa kwa $, Ukiongea fairness sijui unamaanisha nini mkuu.
 
nawewe acha umang'aaa soma kwa uelewa! Nabaki anaenda kununua product GAME yeye anaenda kuziweka ofsini kwake anauza kwa bei zaid ata ya mara mbil na kulaghai wateja wake ametoa bidhaa SA

Mkuu, hilo neno kwenye rangi nyekundu halina uhusiano na uchangiaji wangu kwenye huu uzi, labda mleta uzi. GAME ni ya waS.A na huyu Mzungu wa NABAKI AFRICA ni msouth Africa, Ila mwenye kampuni ya Nabaki Africa ni mchagga wa machame. Mpaka hapo ushajua mang'aa ni nani au sio?
 

Sidhanii kama tupo kwenye wavelength moja.
Wakati wewe nadhani unaongelea fir business oppurtunities mimi nalalia fair business on the side of consumer rights.

Hoarding is a sin!
Both kwa ku-create scarcity ambayo inapandisha bei ya commodity na kufanya an over-kill kwa kulazimisha consumers wengine kununua kwa bei ya juu.

Wakati huo huo , nadhani, wewe unaongelea bei kubwa ya kupanga hapo Mlimani City, hivi mkuu ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Mkuu, tuko pamoja as am sending the right signals labda kama una encode tofauti. Ila swala la fair business practice hakuna Tanzania hayo niliyoongelea kuhusu kodi ya pango na utility charges za makampuni ya serikali ankara zake kulipwa kwa US$ ni mfano wangu hai ulionikuta.
 

Naona nyinyi ni wahandisi manake mwingine anazungumzia Wavelength mwingine Encode!hahaha!
 

Umang'aa, mkuu hilo ni la kwako,tenda ni tunda la contribution yako na jinsi ulivyo wa-impress wana JF.
Nabaki Afrika ni ya mchagga wa Machame?
Du! hii kali , sasa pale anafanya nini, anafagia?
 
Umang'aa, mkuu hilo ni la kwako,tenda ni tunda la contribution yako na jinsi ulivyo wa-impress wana JF.
Nabaki Afrika ni ya mchagga wa Machame?
Du! hii kali , sasa pale anafanya nini, anafagia?
Mkuu, Siko hapa kuimpress watu. huu ni upashaji wa habari tu. Fanya utafiti kidogo utakao kusaidia mbeleni. The owner is very smart so to say, akamuweka huyu kaburu ili tu watu wakimbilie nondo, pipe na filter kwa mzungu si tunajuana waswahili tulivyo. Tunaamini uthabiti kwa kipimo cha Mzungu. Hii ikusaidie kushibisha ubongo kwa sasa.
 
Ha ha ha!
Mkuu uko mgombani au uko hapa Dar!
Inawezekana kabisa umedanganywa na huyo "mchagga" kuwa ana biasara nsuri tu darisalama!​
Kama upo Kiborloni nitakuhurumia lakini kama upo Dar nitaku-term kma an invertebrate habitual liar!

Kujivua cheo hicho naomba tupe jina la huyo " mchagga", kabla hatujakuumbua.
 
Mkuu, kazi za mgombani sio kama za hapo mjini, mtafute Hamish Hamilton atakusaidia haya yote na ww angalau ufunguke macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…