Nabajeti ya 1 ml natafuta pikipiki aina ya boxer au platinum

Nabajeti ya 1 ml natafuta pikipiki aina ya boxer au platinum

sigitoro

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
68
Reaction score
6
kwa yeyote mwenye pikipiki tajwa hapo juu na yuko tayar kwa 1ml ni PM bt iwe imesajiliw ktk usajili unaoanzia na C Mfano T 650 CTQ
 
kuna boxer ya blue namba T 64.. CFU toa 1.4m nkupe nichek wa 0655991403 kwa pcha na maelezo zaid kama upo siriaz
 
Ipo nyeusi no T 136 CQP, nichek kwa 0714495367
 
kwa yeyote mwenye pikipiki tajwa hapo juu na yuko tayar kwa 1ml ni PM bt iwe imesajiliw ktk usajili unaoanzia na C Mfano T 650 CTQ
Ipo nyeusi T 136 CQP nichek 0714495367
 
toa 1.2m nkupe chombo hiki
 
Attachments

  • DSC_0000119.jpg
    DSC_0000119.jpg
    14.2 KB · Views: 127
Back
Top Bottom