Nabaguliwa kisa dini na kabila

Ulikuwa una hasira?

Hao sio Wakristo babu, ni Mayahudi. Wala hamna kazi, wanajua position yao, sema huyu aliyeanzisha mada balehe inamsumbua. Ukiwa Sabato hasa, huruhusiwi hata kula kambale, ni full Torati


yawezekana kweli, ,kama miaka 28 ndio nimepevuka, kazi ipo
 
No, umenielewa tu vibaya. Hawanikeri hata kidogo, wanaishi maisha yao complicated for their own sake. Shida ingekuwepo kama wangekuwa na siasa kali kama wakubwa zao Wayahudi.

Ni Torati tu ndio imewaondoa katika Ukristo


wasabato na wayahudi ni mbingu na ardhi. kwanza wayahudi hawaamini kama yesu alikuja duniani. halafu pia sisi wakubwa zetu ni wakatoliki, kwa kua tulitoka katika ukatoliki... tukaitwa waasi na kuwindwa ulaya nzima, wengine kadhaa wakiuliwa kikatili na wengi wakikimbilia amerika ambayo ilikua na misingi ya uhuru wa kuabudu. tatizo hujasoma na kuvichambua hivi vitu, vipo wazi katika biblia na katika vitabu vya historia
 
Basi kama ukabila hauweki mbele basi wacha huo udini wako ambao umeuweka mbele....Vinginevyo kajitwalie mwali wako Kanisani kwenu SDA.....

binafsi naangalia penzi la kweli na sio dini, mungu alipoumba adam na hawa , hakuweka udini baina yao ... ila waliunganishwa na penzi na uelewa kua MUngu yupo na anapaswa kuheshimiwa.
 

huyo alikua msabato feki, pole dada
 

foolish age... wow!
 
kwan kanisan kwako wasabato mabint wazuri hamna? tafuta bint mzuri ambaye angalau ana form4 ya kawambwa, but mwenye pontential ya kuchakalika town. sio lazima awe na degree. otherwise pole
e

tatizo sio dini, tatizo ni true love
 
Kuepuka kadha hii rudi Musoma ukaoe tu, jamaa angu Mwita Chacha aliamua kurudi Musoma akabeba jiko anaishi kwa roho safi alikumbana na vioja kama vyako.
Mangariba kule wanaharibia wadada wa huko, yale mambo ni noma, mtu akisoma hataki tena tv isiyo na antena
 

hayo unayosema kua sie tunafanya, nimekua nikisikia kama wewe pia unavyosikia. amka, acha fikra potofu ni hatari kwa umoja wa kitaifa
 
Mi ninahoona hapo kuna kitu muhimu kinakosekana,love,kama love ingekuweka hivyo vyote ni vitu vidogo sana tumeona watu wakifanya mamb makubwa kwa love,my take wote hawakupendi ila wanakujali hivyo ni just a way ya kukwambia hapana!
 
huyo alikua msabato feki, pole dada

Mmmh... Kumbe huyo alikuwa feki eeeh?

Kwa hiyo nyie wasabato orijino makula pia KITI BARIDI?? Nieleze ndugu maana isije ikawa masharti yamewashinda mnakimbilia kusema wenzenu feki.!
 
kwa kweli na mm nimejifunza, lakini hayo ndo maisha yenyewe duniani, shukrani members
 


Nimewaambia wasabato ni wanazuoni wanabisha au kujenga hoja kwa facts!Kwa references.

 
pole sana kaka binafsi naelewa machungu unayopitia kwani hata mie yalinikuta nipozama kwa mtoto wa ustaadhi akanambia lazima nitoke kwenye ukristo nimfuate yeye otherwise namkosa....nikawaza sana mwishoni nkamwambia nimezaliwa mkristo nitakufa mkristo siwezi kana dini yangu niliyozaliwa nayo iliyonikuza eti kwasababu tuu nataka ndoa... ukawa mwisho wetu
 
Mangariba kule wanaharibia wadada wa huko, yale mambo ni noma, mtu akisoma hataki tena tv isiyo na antena

Kwani Musoma wanawake bado wanatolewa king'amuzi mpaka hivi sasa?
 

Usabato ni zaidi ya ulokole, ni ukiristo wa siasa kali
 

Tatizo lenu mnaegemea Agano la kale wakati Yesu alikuja kuimalisha Agano jipya, na huko mnako egemea Agano la kale hamliishi kiivyo.
 
Tatizo lenu mnaegemea Agano la kale wakati Yesu alikuja kuimalisha Agano jipya, na huko mnako egemea Agano la kale hamliishi kiivyo.

@Fidel80
. Katika agano jipya Yesu anasema ktk Mathayo 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii la sikuja kutangua bali kuitimiliza. Yesu hajaja kubadilisha chochote,Biblia ni Agano lake + jipya bila hivyo haijaitwa Biblia,wasabato wanasimamia maandiko ya Biblia sio watakavyo wanadamu.
 

umenichekesha sana mkuu maneno yk ya mwishoni. Pesa counts!
 
pole ndugu mimi nililazimika kuachia ngazi baada nya kukutana na sharti hilo la kubadili dini, kwa kweli inauma ukizingatia aliyeniambia hivyo ndio kanifundisha mapenzi nilikata tamaa kua sitapendwa na kupenda tena atlast nimesahau n am enjoying cureent relationship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…