Umeona ukisema kujiua watu watakuonea huruma ukahaki account zao sio? 😅Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Anataka ajira huyu 😅Una umri gani?Umefaulu kwenda hatua ipi kimasomo?unahitaji ada au msaada upi?Nini hitaji lako kijana,funguka usaidiwe
Pole mzee maisha unayoyaacha yana afadhali kuliko unayoyakimbilia unajua ni kwa nini? Kwa sababu haya maisha unayajua kuwa ni magumu nk ila hayo unayoyakimbilia hujui yakoje.Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Kuishi vizuri sio lazima uende shule, maadam unajua kusoma na kuandika tayari una mwanga wa kuingia mtaani na kupambana, tafuta hela mzee kwa namna yoyote, Shigongo amepata degree akiwa mtu mzima kbs. Mawazo ya kujinyonga ni mawazo dhaifu, najua ulitaman na uliamini njia rahisi ya mafanikio yako ni kwenda shule, nature imekukatalia, iheshimu ifuate inakokupeleka utafika mahali pazuri tu.Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Mkuu sio masihara watu wa aina hii wapo wengi Sana..mods huwa wanajitahidi kufuta Sana nyuzi zao....Umeona ukisema kujiua watu watakuonea huruma ukahaki account zao sio? 😅
ukifika huko msalimie katibu wa masanjaKama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Poa ukijiua tujuzeKama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Mi mwenzio ni kama wewe tu nipo zangu uku morogoro najilimiaa zangu mpunga nimeanza last year lakini nimejiozesha saaa hiv npo nakafamilia kangu hapa mke na mtoto mmoja wa kiume tumefanana kweli na kana tabasamu zuri katoto kangu ka miezi 3Kama utahisi masihara basi we hisi hivyo, ila me ndo nimeamua hivyo,
Nimefaulu vizuri ila shule nimeshindwa kwenda kwa hali ngumu, napambana na maisha lakini mwangaza siuoni, sina mbele wala nyuma, wachawi kila siku wananiwinda ili kunirudisha nyuma
Mama yangu ananipenda ila hana maisha na ana hali ngumu huku akinitegemea pamoja na mdogo wangu,
Baba yangu hana msaada na mimi na pia hana chochote, kiukweli nahisi nilizaliwa KIMAKOSA TU
sioni haja ya kuishi
Umeona ukisema kujiua watu watakuonea huruma ukahaki account zao sio?