kweli mkuu hiyo ni njia nzuri maana waelewa ni wachache kuliko wasiyoelewa, kuna haja ya kufanya hivyo kwa njia ya amani hata kwenye daladala ikiwezekanaNaomba support yenu!
Let's be true patriots!
Tunajua mengi sana kuhusu nchi hii, tumediscuss topic nyingi sana kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
Wito kwa wanaJF wenzangu: naomba tuanze kuisambaza hii knowledge tuliyonayo kwa watu wa mitaani. Tuwaelezee yale yanayoendelea ndani ya nchi yetu. Walau wapate elimu ya kweli ya uraia ili waweze kupiga kura kwa usahihi. Hapa JF ni chanzo kizuri sana cha habari kuhusu nchi yetu.
Kama tutaweza kuwaelimisha walau vijana wawili au watu kwa wiki kuhusiana na siasa za nchi, naamini tutakuwa tunapiga hatua towards ukombozi wa nchi hii! Hatustahili kuwa omba omba mpaka sasa, tunahitaji mabadiliko ya kweli!
Tuache kulalamika, tuache kuwa na negativity. Let's talk politics everywhere for the betterment of this country, let's be part of the change we are waiting for. Hamna atakae tuletea mabadiliko zaidi ya sisi wenyewe.
Tuongelee jinsi gani siasa inaadhiri maisha ya mwananchi wa kawaida, jinsi gani ufisadi ulivyo na athari kwa nchi, jinsi gani uongozi mbovu unavyoweza kuwa tatizo kwa maendeleo ya nchi yetu.
Tukiweza kufanya haya tutakuwa tunaplay part kubwa sana kwa ukombozi wa taifa letu!
Let's make a move, let's bring change that everyone is waiting for!
Opinions are invitited jinsi gani tunaweza kuufikisha huu ujumbe mtaani/ofisini/kwenye mihadhara/vyuoni/everywhere we can!
By the way me nimeshaanza, kila Jmosi huwa naenda kijiweni kucheza draft na topic nnazo zianzisha ni siasa tu. Kwa wale waliosoma Economics, hii kitu lazma inakuwa na multiplier effect! Ukimuelezea kwa ufasaha kijana mmoja jua vijana zaidi ya kumi wamepokea huo ujumbe. I believe we can, let's make our right move!
God bless our country!
kweli mkuu hiyo ni njia nzuri maana waelewa ni wachache kuliko wasiyoelewa, kuna haja ya kufanya hivyo kwa njia ya amani hata kwenye daladala ikiwezekana
kuna siku nimewahi kusema ikiwa wasomi wa Tanzania wametawaliwa kifikra, basi hawana msaada kwa taifa na usomi wao ni bure ni sawa na kujilisha upepo,Sisi ndio tuonaotakiwa kuleta mabadiliko! Watu wa mtaani wanasubiri wasomi wawaongoze!
Let's play our part! Tuache kunung'unika bila kufanya kitu.
Tusambaze elimu ya uraia kwa pamoja!
kuna siku nimewahi kusema ikiwa wasomi wa Tanzania wametawaliwa kifikra, basi hawana msaada kwa taifa na usomi wao ni bure ni sawa na kujilisha upepo,
maana wasomi wasotoe njia ya namna gani tuweze ku overcome hii hali mbaya kiuchumi, kisiasa na kijamii, wasomi ndiyo chunvi ya maendeleo, wasomi ni chachu ya mafanikio, wasomi ni funguo ya wajinga kwa kuwapa elimu ya kujitambua na kusoma alama za nyakati, ili kuwaamusha walio lala ili wawe tayari kwa mapambano
kwani usomi ni nini? nafikiri uirudie tena post yangu you shall get some meaning of what i've written about, usishangae kuonekana sijatumia sisi' pengine mie sijatawaliwa fikra, mawazo so nimewalenga wale ambao hawatumii nafasi yao kuielimisha jamii juu ya nini kifanyikeWewe sio msomi? kama sio msomi ni nani kwa vigezo vyako
kwani usomi ni nini? nafikiri uirudie tena post yangu you shall get some meaning of what i've written about, usishangae kuonekana sijatumia sisi' pengine mie sijatawaliwa fikra, mawazo so nimewalenga wale ambao hawatumii nafasi yao kuielimisha jamii juu ya nini kifanyike
yap nimeshajua wewe ni mtu wa namna gani, sasa unajuaje kama sijaenda? maana naamini hujui niko wapi, nafanya nini, nawajibika kwa lipi, na unajuaje kama hawanifuati? na mbona umekuwa mkali ghafla?Teh teh teh
Mbona hatujakuona wewe ambaye hujatawaliwa ki fikra unaenda huko waliko ukawaelimishe walitawaliwa kufikira? Safari inaanza na hatua moja baadae mbili na kuwa nyingi... anza wewe uliyepevuka na wengine wakiona matunda watakufuata.
Tuhamasishe watu wengi zaidi kutembelea humu JF ili tuongeze radicals, catalyst itakuja tosha tu siku moja na kuwezesha kutokea kwa chemical reaction.
Wote. Wasomi na wasio wasomi. kwa kupitia JF, watu wengi zaidi wataelewa ni vitu gani vinaendelea humu nchini mwetu. Manake humu issues zaongelewa from different perspectives, au waonaje mkuu?Ni watu gani wahamsishwe kutemeblea JF?Ufafanuzi Please!