kwani hiyo leseni uliipataje bila kupitia mafunzo yoyote?Naomba kujua Kwa leseni hiyo nitapata cheti gani ?
KasomeLeseni yangu ni class A B C1 C2 C3 D
Sikusoma veta lakini nahitaji nipate vyeti vya veta ili vinisaidie kuomba kazi naanzia wapi wakuu..
Uwe dereva mwenye leseni.Shukran mkuu,ntafanya hivyo
Hawawezi kuhitaji vyeti vya vyuma au wanaangalia leseni tu