Naanza mazoezi

Naanza mazoezi

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Pumba.., mshen.. mkubwa we'---- nini, paka wee! Naongea na mwenye nyani siongei na nya.., sura kama gari ya mkaa! Musiogope; nafanya mazoezi ya matus* ili nikiingia BUNGENI 2015 nisipate tabu si unajua staili ya bungen mda huu si kujua hoja ila ni kujua matus na ukizingatia na mimi nimepanga kugombea.
 
Usisahau na hili mapum_u ya bibiyako, wakikutaka kufuta kauli au kuomba radhi usikubali kwani bibi hana map_mbu, hivyo si tusi,
 
ongeza juhudi za matusi mkuu maana hili bunge n zaidi ya majanga.tizi mara tano kwa siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom