Naanza Masomo ya CPA Mwezi wa Saba Intermediate Stage

Naanza Masomo ya CPA Mwezi wa Saba Intermediate Stage

Joined
Apr 24, 2019
Posts
10
Reaction score
3
Naomba ushauri wale ambao mlishapitia nianze na masomo gani,nataka kufanya Mawili November
Maana naambiwaga hii ligi kama hujajipanga hutoboi
Naombeni na technic za kusoma pia toka nimehitimu degree 2017 nimeshasahau hata Debit na Credit lkn nikianza tena nitakaa sawa! Inshallah
 
Mkuu kabla hatujakushauri mambo ya CPA, vipi hii shida uliimalizaje??

 
Mkuu kabla hatujakushauri mambo ya CPA, vipi hii shida uliimalizaje??

Hahahahahaha jamaa unanifatilia kwa kweli nimefanikiwa 98%%%%% Asanteni kwa ushauri
 
Nakushauri uchukue masomo ma4 mawili ni machache ukikosa umekosa yote
 
Back
Top Bottom