yep ni MC, kama kuna mdogo wako anaolewa nishtue tu, lakini inabidi ubook in advance , niko vere bizeWewe nimekushitukia ni mc.....................
panga vyumba 2, kimojawapo weka mkeka, kibatari, redio bendi 4 na dodoki. Chumba cha pili weka vitu vyako vya garama mfano kitanda, sofa, friji, kabati na Tv, kile chumba chenye mkeka kitumie olways na rafiki zako na masholi, hii itakusaidia kupata mke wa ukweli asiyefuata mali. Kwani hatajua kama unavitu hvyo one day itakuwa kama suprise kwako.
pamoja sana mkuu. usisahau na silaha za kujihami kama nyundo, panga nakazalika. si unajua vibaka wa bongo hawana nizamu.bado nipo online mkuu nannasoma kwa makini sana pembeni ninakaratasi ya kunakili points muhimu
yep ni MC, kama kuna mdogo wako anaolewa nishtue tu, lakini inabidi ubook in advance , niko vere bize
du mbona utanifanya nihairishe ila nyumba ipo karibu na churchhapa tunajalib kumpa kinga kijana. kuna jirani yangu majuzi wamemtoa jipu la kwapa halaf jipu kila usiku linaflash kama nokia ya tochi halaf kuna sauti ya mbuzi inatokea kimiujiza kabisa. binadam wabaya jamani!
Sijamaliza mama si unaona hizo nukta maanake bado list inaendelea pazia, kapeti, chanuo, kioo, vijiko, upao, ungo, ubanio, magazeti ya rangi kwa ajili ya kubandika ukutani......
hilo neno sjui kwanini akiliandika mdada au akilisema linaniongezea mapigo ya moyo?, sikurogi bana, wewe nitakuhallusineti tu.Nakuogopa bana wewe mchawi mi sitaki kurogwa
Nakuogopa bana wewe mchawi mi sitaki kurogwa
hahahahahaha
Fidel watu tunatoka mbali
unaweka kalenda zile kubwa za mwaka mmoja zaidi ya 6
kisa picha, rangi
hilo neno sjui kwanini akiliandika mdada au akilisema linaniongezea mapigo ya moyo?, sikurogi bana, wewe nitakuhallusineti tu.
Kama unamwoga huyo una alternative ya kwenda kwa Bacha pia
Utanitambua jioni leo labda usije tip top
Usichekeze sana mama kwaresima hii au umesahau?
Gesti ya 10,000 Tshs au? Fidel ndo maana unakutana na wahudumu wanakuibia simu wanaweka kwenye c****
hahahahahaha
Fidel watu tunatoka mbali
unaweka kalenda zile kubwa za mwaka mmoja zaidi ya 6
kisa picha, rangi
Fidel halafu huyu mshikaji sijamuuliza kama hiyo nyumba aliyopata kama bafu na choo viko nje au ni self containedUnajua D.A tunatofautiana kipato mm siwezi nikampeleka mpenzi kwenye Guest zaidi ya Tsh.5000/=
Fidel halafu huyu mshikaji sijamuuliza kama hiyo nyumba aliyopata kama bafu na choo viko nje au ni self contained
Unajua D.A tunatofautiana kipato mm siwezi nikampeleka mpenzi kwenye Guest zaidi ya Tsh.5000/=
Upo wapi nikuletee? Kuna mahala zinatolewa bure. Nikipitia mitaa hiyo nitakuchukulia hata ukitaka box kumi.