Kwani haya wanayoyafanya wameyapata wapi kama sio kufuata nyayo za bwana mkubwa wao? Unataka semina elekezi gani? Unategemea rais atawaelekeza nini zaidi ya hayo hayo wanayotenda? Unataka awaelekeze mara ngapi kama ameshawaelekeza kwa vitendo alipofanya hivyo hivyo hazina na muhimbili? Mmeanzaaa!!!!! wakati wa kitwete milisema watendaji ndiyo wabaya yeye akabaki kama malaika! Sasa waziri amewaeleza cha kufanya kwa vitendo watendaji wanatekeleza mnasema awapesemina elekezi!!!! mpaka sasa kuna tofauti gani ya wanayofanya mawaziri na rais? Hapa Kazi tu!Mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wamepanic, tena wamepanic vibaya, na matokeo ya kupanic huko wanafanya maamuzi ya kukurupuka na yanayovunja haki za bunadamu. Mara huyu kawatia ndani watendaji (kinondoni), mara huyu kawalazimisha watu kufanya kazi bila likizo(moshi), mara huyu kawalazimisha watendaji kukaa chini kwenye darasa lenye vumbi eti ili wajue watoto wakikaa inakuwaje (lorya), kila kukicha ziara za kushtukiza ambazo mwisho wake hatuambiwi zime achieve nini (tena dar peke yake)?? Mara huyu kawafungia watumishi geti ?? Yani ni fujo na sifa tu
Kimsingi kauli ya Mh Rais kuwa wateuliwa wake watajielekeza wenyewe inaleta vurugu huku maofisini. Hawa waheshimiwa wameshindwa kuelewa maana ya ?HAPA KAZI TU? na kimsingi kila mtu ana tafsiri yake. Bila semina elekezi tutayashuhudia mengi .Kwakweli nimeanza kuona umuhimu wa Dr Magufuri kuwapa hawa wateuliwa wake semina elekezi, ili wajue ideology hii ya Mh Rais utekelezaji wake unaendaje
.Nawasilisha
Magufuri kinacho mpa shida nikutaka kujipa uperfect nakutaka kufata mfumo wa mwalimu ambao hauwezekan kwa sasa.
Kwani haya wanayoyafanya wameyapata wapi kama sio kufuata nyayo za bwana mkubwa wao? Unataka semina elekezi gani? Unategemea rais atawaelekeza nini zaidi ya hayo hayo wanayotenda? Unataka awaelekeze mara ngapi kama ameshawaelekeza kwa vitendo alipofanya hivyo hivyo hazina na muhimbili? Mmeanzaaa!!!!! wakati wa kitwete milisema watendaji ndiyo wabaya yeye akabaki kama malaika! Sasa waziri amewaeleza cha kufanya kwa vitendo watendaji wanatekeleza mnasema awapesemina elekezi!!!! mpaka sasa kuna tofauti gani ya wanayofanya mawaziri na rais? Hapa Kazi tu!

Haya umesikika...nenda kakojoe ulale.
Mmefungiwa nje nini!kwani uliambuwa uje kazini saaa nne?safi sana mimi watu wanakera sana wewe unaenda ofisini kwa mtu saa tatu tena kwa appointment alafu anakwambia nisubiri.niko njiani mkome na mkome chukua na viti vyao na meza kabisa.Semina elekezi za kutokufungia nje.Fanya kazi Dr.
Kurupuka, fungia nje maana wana maneno sana utawakuta wanasema nilikuwa namzidi darasani, mara alinyakwa mwaka wa ngapi fungia nje kata kilimilimi mpaka tuheshimiane
acha chuki binafsi wewe, ukizidiwa darasani ndo unashangilia ujinga