Naanza kuchukia mapenzi

Naanza kuchukia mapenzi

Unadhan wazaz wako na uyo mpnz wako nan bora?kwan ndg yako

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
J e huyo ndio mpenzi wako wa kwanza?? Je kwani kila uhusiano baina ya mvulana na msichana uwe ndoa??? Kwani umeambiwa na mganga ya kwamba ukioana na huyo mchumba utakuwa tajiri?? Kwani umepata hasara ya shilingi ngapi kwa kumwacha?? Jaribu kutulia na kujibu hayo maswali, kisha utaona kama unayo sababu ya msingi ya kuchukia mapenzi.
Daaaah aiseee akijibu haya hatorudia tena kila kitu hapo umemaliza jombaaaa
 
Maandishi yaneonesha bado kijana mdogo sana, umepata Division gani wewe form four?
 
Acha tu huwezi jua umeepushiwa kitu gani, pole
 
mpenzi wangu ananiambia tuachane bila sababu na sijawahi hata kumwambia swala la kufanya mapenzi lakini basi tuu ananiambia tuachane bila kosa lolote nifanyeje maana nahisi kuchukia mapenzi

Ni bora kusikiliza mapema hayo akuambiayo, usije tendwa baadae ukajuta
 
shukran sana aisee kwa michango yenu ila hiyo ya pu.......sijaiafiki hata kidogo.
 
Nipo A-level now kwan mapenzi yana udogo na ukubwa ww???

Mwana mdogo bado mdogo sana wewe achana na mambo ya MAPENZI kwa sasa kwani UTAYAKUTA tafuta maisha kwanza dogo. Soma vizuri sana ufaulu wanawake wazuri na wakukufaaa sana wapi, usiwe na wasiwasi, huyo atakufelisha bure...
 
Kizamani hizo walisema....don't hate the game, hate the player.
 
Back
Top Bottom