Naanza kuamini alichoniambia Dr. Dre

Naanza kuamini alichoniambia Dr. Dre

Wahaya wahaya mungu anawaoba yaani hii ni zaidi ya chai ba kahawa, sijui mleta uzi ulilala wapi afi ukapta hii ndoto au umekunywa lubisi?
 
Nikugambire buana, naona kaamua kuja na been there, than that, ya kiaina.
 
Pacha ake kiduku lilo nakusalimu..
 
Ukute Upo Seblen kwa shemeji yako unasubiri wakienda kulala ujibwage kwenye masofa ili uamke mapema kufyeka nyasi.
 
Mdogo wangu una tatizo la akili serious you need help
Unaweza kua unachangamsha jukwaa au unatafuta likes na comments but pyschologically you are destroying yourself
Mkuu PATIGOO natamani sana ktk arobain ya ndgu yangu uwepo.

Maana inaonekana umaskini umekulegezea misuli ya imani.
 
..............
Unakuta muimbaji, nyimbo zote anatumia chord progression moja. Mbaya zaidi key inabakia ile ile. ........
Hapa mkuu tutakao kuelewa ni wacahache sana.Umeongea kimuzik zaid tena ule wa kuhitaji kujua..
Na hichi ukichokisema hapa ni 100% absolutelly true..nyimbo zaid ya 50% za wasanii wengi zina progression moja na key ndio kabisaaa...
Yan inapoanza tu hata kama unaiskia kwa mara ya kwanza unaweza uka predict bila shida..
 
umekutana na man fongo huko mmedanganyana

saizi unamuita dr dre,wakati daily unashnda na kina sholo mwamba..
 
Back
Top Bottom