Hizo mbegu ungeenda kuzipanda nje. Maybe n za mti wa matunda.
On a serious note, kama ukiamini umepigwa kimbola bas life lako litakua gumu kwa kipindi kirefu sana.
Kila mwanaume anapitia milima na mabonde kwenye life, kuna kipindi unawamba mpka unahisi ulikosea kuja duniani then later mambo yanakaa mswano.
Cha muhim we komaa kila kona ulishe familia yako life liende maana jeyri ya mshua n watoto kwenda chooni.
Huko mbele yatajiseti tu.
Hata b4 kupata hii kampuni X lazma uliwahi pitia msoto pia sema tu huu wa sasa hv unauona mkali kwa maana ulikua umebadolisha maisha so hata shida zako zikabadilika pia