Kwahyo we mkuu huchunguliag status za ma x ...bas sawaUtakapokuta siku status imewekwa picha yako na caption
inasomeka "jini mkatakamba huyu alinikondesha sana" ndio
akili itakapo kukaa sawa,sasa hivi endelea tu kuangalia maana
unachokitafuta utakipata tu,watakuweka siku 1 tu ila hzo caption zake sasa..
Nikishampa mtu kisogo,sigeuki nyuma kabisa ni mbele kwa mbele.
Nikishampa mtu kisogo,sigeuki nyuma kabisa ni mbele kwa mbele.
kwannSioni umuhimu wa kumiliki namba ya ex
Sioni umuhimu wa kumiliki namba ya ex
Kuna umuhimu. Ila sio Lazima.
Nadhan hata ww unajua, labda kama una miaka 20s au Ex zako hawana Influence yoyote mjini.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umuhimu haupo
Kwako inaweza kuwa ni Sawa.
Ila Watu hubadilika, MaEx wanapata majanga, MaEx wanapata mafanikio. Nk.
Unahisi ww huna umuhimu wa kuyajua?.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Utakapokuta siku status imewekwa picha yako na caption
inasomeka "jini mkatakamba huyu alinikondesha sana" ndio
akili itakapo kukaa sawa,sasa hivi endelea tu kuangalia maana
unachokitafuta utakipata tu,watakuweka siku 1 tu ila hzo caption zake sasa..
Kiukweli kabisa sioni umuhimu wa kujua kinachoendelea kwa ex....labda itokee nijue kwa bahati mbaya(mtu aniambie),lakini sio mimi kufuatilia kwa namna yoyote ile
Mbona unaongelea kama Ex wako wako weng sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiasi kwamba ukijua ni kama umepewa kazi ya kufuatilia kijiji.
Ex wa maana watatu wanne unakosaje kuangalia Status zao.
Sent from my iPhone using JamiiForums