Hiyo njaa yako inakutoa akili kabisa kwani akitoka Chadema atakosa oxygen, eti nyie ndiyo washauri wa Sultan Mbowe, bure kabisa.Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Acheni udikteta uchwara. Mnataka nyie muwe na mawazo sawa kama visahani?Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Sultan maji ya shingi huko hadi anakimbilia kwa matapeli wamsaidie famchezo wewe.Mamlaka ya nidhamu ya Lema ni Tawi.
Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Hiyo njaa yako inakutoa akili kabisa kwani akitoka Chadema atakosa oxygen, eti nyie ndiyo washauri wa Sultan Mbowe, bure kabisa.
Hiyo ni hatua sawa kabisa. Nakutakia mafanikio😎Tayari nimeshamtumia wito ingawa anafanya jitihada za kuukwepa.
Kisa hana mawazo sawa na nyie?Mheshimiwa Lema atapatiwa mashtaka yake na atapewa nafasi ya kujitetea na ataruhusiwa kuambatana na mawakili wasiozidi 5.