Naamini watanzania walitaka kiongozi makini siyo mpenda sifa

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,863
Watu wote ninaokutana nao wakisifia kinachoitwa 'kasi' ya serikali hii nimewaeleza kwamba tuwe makini tusije tukasifia 'kasi' kumbe wenzetu wanalenga 'sifa'.

Nakubaliana na wanaosema nchi ilifika pabaya na hivyo hatua zinachokuliwa ni sawa tu. Ziwe zinakiuka utaratibu au zinafuata utaratibu sawa tu! Ukihesabu mabilioni tunayoambiwa kila siku kwamba yaliingia mifukoni mwa watu unasema hatua zinazochukuliwa ni sawa tu.

Lakini kuhoji baadhi ya maamzi itasaidia kutengeneza mfumo utakao kuwa wa kudumu na hatutamumhitaji Magufuli baada ya Magufuli. Najiuliza mfano nini kazi ya TAKUKURU kama mkuu wa mkoa anachunguza vitendo vya rushwa vya mkurugenzi wake? Isingekuwa vizuri zaidi kuagiza TAKUKURU kufanya kazi hiyo aliyojipa na sasa analazimika kurudi TAKUKURU ili wathibitishe madai yake?

Lakini pia kulikuwa na sababu ya RC kushitaki kwa rais? Hivi mkurugenzi wa jiji anawajibika wapi? TAMISEMI? kama ni hivyo kwa nini RC hakupeleka taarifa kwa waziri anayehusika? Waziri mhusika anajisikiaje RC kwenda moja kwa moja kwa rais wakati yeye yupo?

Lakini kina Kabwe nchi hii ni wengi sana. Tuna wilaya 171 ambazo kila moja ina wakurugenzi ambao chini yao kuna wakuu wa idara. Hivi ma-RC watamsubiri Magufuli kwenda wilayani kwao ili wawashitaki au rais anapaswa kuimarisha TAKUKURU na vyombo vingine vichukue hatua yeye abaki kuona kina Kabwe wanapandishwa vizimbani?

Watanzania wanahitaji strong leader siyo popular leader!
 
Watanzania wenye kuyafikiria hayo ni wachache sana! Nionavyo karibu wote wamekunywa ulevi akili ni kushangilia kila kitu bila kuhoji usahihi wa haya yanayofanyika. Yapo mazuri, lakini kuna ya kuhoji vile vile
Ni kweli wako hivyo lakini tusipohoji nasi tutajikuta tuko kama wao
 
Watu wote ninaokutana nao wakisifia kinachoitwa 'kasi' ya serikali hii nimewaeleza kwamba tuwe makini tusije tukasifia 'kasi' kumbe wenzetu wanalenga 'sifa'.

Nakubaliana na wanaosema nchi ilifika pabaya na hivyo hatua zinachokuliwa ni sawa tu. Ziwe zinakiuka utaratibu au zinafuata utaratibu sawa tu! Ukihesabu mabilioni tunayoambiwa kila siku kwamba yaliingia mifukoni mwa watu unasema hatua zinazochukuliwa ni sawa tu.

Lakini kuhoji baadhi ya maamzi itasaidia kutengeneza mfumo utakao kuwa wa kudumu na hatutamumhitaji Magufuli baada ya Magufuli. Najiuliza mfano nini kazi ya TAKUKURU kama mkuu wa mkoa anachunguza vitendo vya rushwa vya mkurugenzi wake? Isingekuwa vizuri zaidi kuagiza TAKUKURU kufanya kazi hiyo aliyojipa na sasa analazimika kurudi TAKUKURU ili wathibitishe madai yake?

Lakini pia kulikuwa na sababu ya RC kushitaki kwa rais? Hivi mkurugenzi wa jiji anawajibika wapi? TAMISEMI? kama ni hivyo kwa nini RC hakupeleka taarifa kwa waziri anayehusika? Waziri mhusika anajisikiaje RC kwenda moja kwa moja kwa rais wakati yeye yupo?

Lakini kina Kabwe nchi hii ni wengi sana. Tuna wilaya 171 ambazo kila moja ina wakurugenzi ambao chini yao kuna wakuu wa idara. Hivi ma-RC watamsubiri Magufuli kwenda wilayani kwao ili wawashitaki au rais anapaswa kuimarisha TAKUKURU na vyombo vingine vichukue hatua yeye abaki kuona kina Kabwe wanapandishwa vizimbani?

Watanzania wanahitaji strong leader siyo popular leader!

Raisi anauliza raia nitumbue nisitumbue jibu tumbua!!!!! jamaa kasimamishwa kazi vibaya sijui familia yake inajisikiaje? simtetei kabwe mana tuhuma zake bunge linajua ila yafaa aachishwe kazi kwa taratibu na afikishwe sehemu husika kwa uzembe wake.
 
Watu wote ninaokutana nao wakisifia kinachoitwa 'kasi' ya serikali hii nimewaeleza kwamba tuwe makini tusije tukasifia 'kasi' kumbe wenzetu wanalenga 'sifa'.

Nakubaliana na wanaosema nchi ilifika pabaya na hivyo hatua zinachokuliwa ni sawa tu. Ziwe zinakiuka utaratibu au zinafuata utaratibu sawa tu! Ukihesabu mabilioni tunayoambiwa kila siku kwamba yaliingia mifukoni mwa watu unasema hatua zinazochukuliwa ni sawa tu.

Lakini kuhoji baadhi ya maamzi itasaidia kutengeneza mfumo utakao kuwa wa kudumu na hatutamumhitaji Magufuli baada ya Magufuli. Najiuliza mfano nini kazi ya TAKUKURU kama mkuu wa mkoa anachunguza vitendo vya rushwa vya mkurugenzi wake? Isingekuwa vizuri zaidi kuagiza TAKUKURU kufanya kazi hiyo aliyojipa na sasa analazimika kurudi TAKUKURU ili wathibitishe madai yake?

Lakini pia kulikuwa na sababu ya RC kushitaki kwa rais? Hivi mkurugenzi wa jiji anawajibika wapi? TAMISEMI? kama ni hivyo kwa nini RC hakupeleka taarifa kwa waziri anayehusika? Waziri mhusika anajisikiaje RC kwenda moja kwa moja kwa rais wakati yeye yupo?

Lakini kina Kabwe nchi hii ni wengi sana. Tuna wilaya 171 ambazo kila moja ina wakurugenzi ambao chini yao kuna wakuu wa idara. Hivi ma-RC watamsubiri Magufuli kwenda wilayani kwao ili wawashitaki au rais anapaswa kuimarisha TAKUKURU na vyombo vingine vichukue hatua yeye abaki kuona kina Kabwe wanapandishwa vizimbani?

Watanzania wanahitaji strong leader siyo popular leader!
UKISEMACHO NI KWELI,CHA KUSHANGAZA BADALA YA KUFANYA KAZI WANATAKA MISIFA YA KUUZA SURA KWA TBC.
 
Sasa kama jana nimejiuliza huyo Kabwe aliyetumbuliwa mbele ya hadhara, je atafikishwa mahakamani ama ndio imetoka hivyo? Mbona wezi wa kuku na simu huku mtaani wanapelekwa jela na sio kufukuzwa tu mtaa kisha yakaishia hapo? Huwa ninapata shaka sana watu hawa wanapohubiri mapinduzi ya viwanda. Ninachokiona ni kama wanacheza na akili za watu, wanasema kile wanachodhani wananchi wanapenda kusikia lakini baaada ya hapo hapo ufuatiliaji wenye tija.
 
Watu wote ninaokutana nao wakisifia kinachoitwa 'kasi' ya serikali hii nimewaeleza kwamba tuwe makini tusije tukasifia 'kasi' kumbe wenzetu wanalenga 'sifa'.

Nakubaliana na wanaosema nchi ilifika pabaya na hivyo hatua zinachokuliwa ni sawa tu. Ziwe zinakiuka utaratibu au zinafuata utaratibu sawa tu! Ukihesabu mabilioni tunayoambiwa kila siku kwamba yaliingia mifukoni mwa watu unasema hatua zinazochukuliwa ni sawa tu.

Lakini kuhoji baadhi ya maamzi itasaidia kutengeneza mfumo utakao kuwa wa kudumu na hatutamumhitaji Magufuli baada ya Magufuli. Najiuliza mfano nini kazi ya TAKUKURU kama mkuu wa mkoa anachunguza vitendo vya rushwa vya mkurugenzi wake? Isingekuwa vizuri zaidi kuagiza TAKUKURU kufanya kazi hiyo aliyojipa na sasa analazimika kurudi TAKUKURU ili wathibitishe madai yake?

Lakini pia kulikuwa na sababu ya RC kushitaki kwa rais? Hivi mkurugenzi wa jiji anawajibika wapi? TAMISEMI? kama ni hivyo kwa nini RC hakupeleka taarifa kwa waziri anayehusika? Waziri mhusika anajisikiaje RC kwenda moja kwa moja kwa rais wakati yeye yupo?

Lakini kina Kabwe nchi hii ni wengi sana. Tuna wilaya 171 ambazo kila moja ina wakurugenzi ambao chini yao kuna wakuu wa idara. Hivi ma-RC watamsubiri Magufuli kwenda wilayani kwao ili wawashitaki au rais anapaswa kuimarisha TAKUKURU na vyombo vingine vichukue hatua yeye abaki kuona kina Kabwe wanapandishwa vizimbani?

Watanzania wanahitaji strong leader siyo popular leader!

Nimeangalia heading yako tu nimegundua ww ni jipu tu.
 
Kabla hujapata taasisi imara Lazima upitie njia za mikato kama hizi za kutumbua papo hapo. Anahitajika kiongozi atayejifanya chizi ili walau tupige hatua. Kwa muda JPM aliokaa madarakani na changes alizoleta yupo sawa kwa maamuzi na taratibu anazotumia kuondoa uozo ila in the long run itabidi awezeshe taasisi ziweze kusimamia mfumo mzima.

Hivi wakurugenzi huteuliwa na nani? Kama ni Rais basi ndiye mteuzi na ndiye mwenye mamlaka ya kuwatengua
 
Back
Top Bottom