Naamini mke wangu upo hapa

Na akitokea mwenye vigezo vyote Ila hajaokoka unafanyaje?
Kuna vigezo ni modifiable na vingine ni non-modifiable yaani kuna vigezo vinaweza kubadilika mfano Dini/imani. Kama atakuwa tayari kuifuata imani ya kristo ya kanisa Pentecost na vigezo vingine vipo okay, hiyo haitakuwa shida (japo mtu anaweza kubadili imani ili tu apate anachokitaka na badaye akaja kugeuka)
Kuna vigezo havibadiliki mfano umri, kuwa na mtoto n.k hivo ndio vyenye changamoto
 
Andiko la usifungiwe nira na wasioamini unalionaje? Nyie ndio hua mnaokokesha watu, unamwambia nenda kajifanye umeokoka kanisa Fulani then nakuja kukuchumbia, ukweli Ni kua Kama umeokoka huruhusiwi kuoa au kuolewa na asiye okoka
 
Mkuu Fanya interview kabisa ntakuja nikusaidie kuangalia baadhi ya vipengele Na vingine tutatest kabisa,angalau mchujo hata wakibaki watatu,tutajua tutafanyaje ili muhindi lazima apatikane
 
Anataka kuwateka tu wadada wa watu walio desperate!
You may be right in your opinion boss. Sikupingi, lakini kumbuka hata huko makanisani tuliko tunakosema tunaonyeshwa wengi tunadanganywa na hisia/macho na tunaishia kumsingizia Mungu.
 
You may be right in your opinion boss. Sikupingi, lakini kumbuka hata huko makanisani tuliko tunakosema tunaonyeshwa wengi tunadanganywa na hisia/macho na tunaishia kumsingizia Mungu.

Sawa, then kusema unataka tag and eagt wakati unajua ni wasanii? Hauoni inafanya uonekane hauna dhamira ya dhati?
 
"Vibonge mtanisamehe!"
Hii statement inaumiza vibonge sana
muda muafaka waanze mazoezi Obesity haitakiwi watu wanajali matumbo zaidi ya miili yao
 
Vibonge tuna mapenz ya kweli hao wembamba watawasumbua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…