Naamini kuna mawaziri walioaminiwa na wanaomba JPM ashindwe!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,701
8,905
Kitendo cha Waziri Muongo kutuma SMS kwa Mkuruguze wa WMA,ni jinsi gani yupo ndani ya serikali na anajua kuwa walifanya hayo kwa miaka 5 wakijua ni nikuujumu uchumi, na zaidi mawaziri wa hivyo wapo ndani ya Serikali ya JPM na wanaomba afike mahali juhudi zake zishindwe. Hivyo Pr Muhongo sikiongozi muhadilifu ni bora akapumuzika?na jua ni ngumu ila JPM fanya hilo japo ni mtaalamu ila atakuwa mshahuri ikibidi!
Ila siyo mkweli kwa utendaji wake.
 
Mbona pia kuna hata baadhi ya wananchi nao wanaomba Magufuli ashindwe ili waendelee kulalama tu. Kuna wananchi wanajifanya kuikosoa serikali lakini kumbe lengo lao ni kuidhoofisha na si kuona ikiimarika kwa kuikosoa huko.
 
Back
Top Bottom