Naamini hatupotei kumchagua Dr Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naamini hatupotei kumchagua Dr Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtima, Oct 29, 2010.

 1. M

  Mtima New Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawashauri wa TZ wenzangu bila kujali itikadi zetu tumpigie kura DR Slaa, kwani kama tumewapa haw ndugu miaka yapata 50 na tumepotea hadi sasa tunakumbwa na lindi la umasikini na ufisadi usioisha, je tukiendelea kuwachagua si ndo tutaendelea kupotea zaidi?

  Naamini Dr Slaa ni mtu thabiti tumemuona akiwa na moyo wa kizalendo tangu akiwa Bungeni, akiwatetea wanyonge na kujitoa muhanga kwa ajili ya wa TZ masikini. Mtu huyu anatufaa. Amani itadumu na mshikamano wetu wa TZ uko palepale.

  Hata wana CCM msiogope kumchagua Dr Slaa, nadhani hata nyie mnamuelewa, mchagueni tujenge TZ yenye mwelekeo.
   
Loading...