NAAMIN,serikali yangu ni LEGELEGE

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Kwa yanayoendelea kujiri nchini kwa sasa hakuna ubishi kuwa nina serikali legelege,,,,,yapo mengi sana yanayonifanya niamin hivyo,lakin mojawapo ni hili la MKURUGENZI WA KAMPUN YA ENGEN aliyeipa serikali saa 24 tu ili iweze kubadili bei elekez ya mafuta,na hadi leo sijasikia serikali kuchukua hatua madhubuti kama vile KUMTIA KASHKASH mkaburu huyo,lakini pia suala la mgomo wa wauza mafuta hadi leo haujapatiwa ufumbuz,hili linaomesha kuwa serikal yangu ni legelege,pia huko bungen nako serikali yangu bado inaonesha ni legelege,maana mawaziri wake wanavyohenyeshwa hadi inafikia muda mwanasheria mkuu anasimama kuwasaidia,lingine ni hili la ofis ya SUPIKA kumtetea wazir mkuu asiulizwe maswali magumu,.........endelea kuelezea ulegelege wa serikali yako
 
naogopa kuitukana serikali kwa maneno ila nimeitukana kimoyomoyo
 
ingekuwa kwa kagame au hugo chaves huyo kaburu ungekuta kishaisahau tanzania!tatizo rais mwenyewe anawapigia magoti eti wawekezaji
 
<br />
<br />
yaani hata siamin.,,.,.yule kaburu kuipa serikali saa 24????tena anasema yeye si mtanzania,amekuja tanzania kutafuta faida na si hasara,leo siku ya 5 hajachukuliwa hatua,then wanasema WANAMCHUNGUZA,LOL
 
Kwa yanayoendelea kujiri nchini kwa sasa hakuna ubishi kuwa nina serikali legelege,,,,,yapo mengi sana yanayonifanya niamin hivyo,lakin mojawapo ni hili la MKURUGENZI WA KAMPUN YA ENGEN aliyeipa serikali saa 24 tu ili iweze kubadili bei elekez ya mafuta,na hadi leo sijasikia serikali kuchukua hatua madhubuti kama vile KUMTIA KASHKASH mkaburu huyo,lakini pia suala la mgomo wa wauza mafuta hadi leo haujapatiwa ufumbuz,hili linaomesha kuwa serikal yangu ni legelege,pia huko bungen nako serikali yangu bado inaonesha ni legelege,maana mawaziri wake wanavyohenyeshwa hadi inafikia muda mwanasheria mkuu anasimama kuwasaidia,lingine ni hili la ofis ya SUPIKA kumtetea wazir mkuu asiulizwe maswali magumu,.........endelea kuelezea ulegelege wa serikali yako
<br />
<br />
Unadhani yale mabango yaliyotumiwa kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu nchi mzima wafadhili walikuwa kina nani! Huu ndiyo wakati wao wa kurudisha gharama zao hivyo jk hana namna nyingine coz analifamu hilo.
 
Back
Top Bottom