Habari zenu wataalam wa humu! Mi natumia simu ya iNote Mini na ina android, tatizo linakuja nikitaka kuapload blog yangu kutumia simu naambiwa unsupported browser, nikadownload opera mini lakini bado tatizo liko palepale, nisaidieni nifanye nini plz plz