Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
1.Sasa niulize nitafanya nini na kwanini uichague CCM tena tokomeza tatizo la umeme!
2.Katika mada hii napenda sana ma engineer waulize maswali mazito ya ki technical zaidi!
3.Na wanauchumi wakae mkao wa kula na maswali ya investment cost!
4.Wataalamu wa petrol nao wajiandae na internal combustions zao!
5.Pia watu wazito nao walete michango yao changamoto zao za kutendaji.
6.bila kusahau wazee wa maji mazito D2O! I mean Nuclear pia! Andaeni maswali!!