Hiyo sasa. NongwaMmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko...
We sema tu umemchoka mdada wa watu unataka kumuacha.
Wacha kuzunguka zunguka hapa
Duuh me napita tuuuuu🤣🤣🤣🤣😲Mmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko poa hivyo tangu niwe...
Una akili mtu wanguAnataka kuhakikisha haufanyi manunuzi ya ghali yasiyo ya msingi. Muoe huyo haraka ndio mke wako hata ukiyumba kiuchumi ni rahisi kuji adjust.
Hela feki na cheni bandiaWakwako umechoka kwasababu anaulizia bei, wakwangu sijamchoka lakibi hua ni mwizi.
Mkuu ebu njoo PM tuyajenge namna nzuri tunavyo weza kubadilishana hawa wanawake...[emoji4]
Dahhhh.....Anataka kuhakikisha haufanyi manunuzi ya ghali yasiyo ya msingi. Muoe huyo haraka ndio mke wako hata ukiyumba kiuchumi ni rahisi kuji adjust.
Anataka kujua Bei kwasabu anaona Kama unatumia gharama kubwa Sana kumuhudumia, ilihali yeye haitaji hayo mavitu ya gharama.Mmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko poa hivyo tangu niwe nae nimekuwa najitahidi sana asijihisi yuko peke ake hasa kiuchumi...
Furus...wewe🤣🤣Wakwako umechoka kwasababu anaulizia bei, wakwangu sijamchoka lakibi hua ni mwizi.
Mkuu ebu njoo PM tuyajenge namna nzuri tunavyo weza kubadilishana hawa wanawake...😊
Wewe ulioa huyo wako?Anataka kujua Bei kwasabu anaona Kama unatumia gharama kubwa Sana kumuhudumia, ilihali yeye haitaji hayo mavitu ya gharama...