Wadau, mabibi na mabwana…
Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility….
Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani….
1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
ii. Beauty
iii. Mwanajamiione
iv. Carmel
v. Nyamayao
vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu….ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
As it's only a Friday nawasilisha….
Katibu.
yes yes yeaaaah!
nakuunga mkono ukaongee nao faragha hao wandago wa kambi ya pili. ila usisahau kutuletea picha hapa jukwaani. Naamini utaenda kuifanya vyema kazi yetu ukiwa huko.
Jamani mpokeeni mwenzetu kwa mikono miwili jamani, jitahidini kumbadilisha ingawa twamjua siye...
natoa sharti la mimi kujiunga na prevention team, aje nyama yao kunishawishi faragha naweza kufikiria kujiunga labda
Inategemea ni kichwa gani unazungumzia mkuu..........maana hayo masharti naona kabisa hana nia ya kuhama ISC bali ana pango wa kuumaliza upinzani kwa kuurubuni kuingiza sheria na taratibu za ISC kwa IPC.
Sasa msinihuhukumu kabla ya kunipa nafasi....hebu nipeni nafasi kwanza ndo mnihukumu....Makubwa......
sasa hapo unaacha au unadumisha....? :confused2::confused2:
long live katibu.Mkuu :shut-mouth:.... (hii strategy inafanya kazi)
Inategemea ni kichwa gani unazungumzia mkuu..........maana hayo masharti naona kabisa hana nia ya kuhama ISC bali ana pango wa kuumaliza upinzani kwa kuurubuni kuingiza sheria na taratibu za ISC kwa IPC.
yani unataka wote hao? ushakua mswati nini?? duh
hiyo list naiona kama umeiweka kwa order maalum au ni random tu?
Naangalia dhamira yake maana naona anataka kujilimbikizia mali
Wadau, mabibi na mabwana…
Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility….
Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani….
1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
ii. Beauty
iii. Mwanajamiione
iv. Carmel
v. Nyamayao
vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu….ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
As it's only a Friday nawasilisha….
Katibu.
Sharti letu ni moja tu; Kuwa hunyimwi kujivinjari kama utakavyo, lakini kabla hujaamua lolote, mwandani wako ajue kuwa unakwenda wapi, kufanya nini, na nani...! Hata ikitokea ukafanya bila kumweleza, basi utakapowasiliana naye, basi umweleze yote yaliyokutokea...! Hata kama umemwibia/umemsaliti na ajue mapema iwezekanavyo...! In short, we never lie....! Kama utakuwa tayari, basi karibu sana...! Sisi hatuhitaji mchango wa fedha, bali uwazi na ukweli tu...!
Wadau, mabibi na mabwana
Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility .
Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani .
1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
ii. Beauty
iii. Mwanajamiione
iv. Carmel
v. Nyamayao
vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu .ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
As its only a Friday nawasilisha .
Katibu.
na'smell samthin hapa, we Roya Roy unataka ku'apply ile style ya NAM aka 50/50..huku kama unataka kuja unakaribishwa kwa mikono miwili, na uweke miguu yote ndani, siyo mmoja nje,na mwingine ndani..na hatutaki hayo masharti no 1& 3..no mbili its okay 4 us tho.
Karibu sana, huku utapewa cheo cha mwenyekiti wa nidhamu-upinzani.
Karibu.

Sharti letu ni moja tu... uahidi na utekeleze kwa vitendo kuilinda katiba ya IPC na si vinginezyo
Utaacah vyote na kuambatana nayo hata mwisho wa dahali na
Uahidi na kutekeleza kwa vitendo kujifunga mkanda na kushiriki kikamilifu katika vita dhidi ya Infii ikiwemo na kupinga ilani zote za ISC

Makubwa......
sasa hapo unaacha au unadumisha....? :confused2::confused2:
uliotutaja wote hapo juu(except eliza) tulikuwa tunapiga maombi jana, hatukuwa na huyo mtu kbs.Nahisi Eliza kuna vitu alikuwekea au jana ulikuwa unakunywa zero pub na hawa wafuatao SMILES, BEAUTY,MJI, CARMEL, NYAMAYAO halafu wakakuwekea vitu kwenye valuer yako nahisi kama vile unatembea kichwa chini miguu juu
uliotutaja wote hapo juu(except eliza) tulikuwa tunapiga maombi jana, hatukuwa na huyo mtu kbs.
Ameomba kujiunga na chama pinzani right? sasa chama tawala anatafuta nini tena?Ulishwahi kusikia tokea lini chama au mwanachama wa chama tawala akapinga ilani za chama chake