huyo mzee ana utani sana ......kaibu wote waliosalimiana nao aliweza kuwatania kwa namna moja au nyingine...nakumbuka wakati ameingie dk Bilal alipokwenda kumsalimia huyu mzee alimvuta na kumwambia wakae wote kwenye kiti kimoja....alipoingia maalim seif huyu mzee alimtisha ngumi kisha akawa anacheka sana ..... ana utani sana