I Ismailsimba Member Joined May 10, 2012 Posts 88 Reaction score 12 May 11, 2012 #1 Nimeckia kuwa kuna settings za network ukiweka kwenye handler application kama opera mini 4.2 labs unaweza kutumia internet bure, je ni kweli? Na kama ni kweli naombeni msaada wenu.
Nimeckia kuwa kuna settings za network ukiweka kwenye handler application kama opera mini 4.2 labs unaweza kutumia internet bure, je ni kweli? Na kama ni kweli naombeni msaada wenu.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,930 Reaction score 1,162 May 11, 2012 #2 Usije ukawa wale ma informer, kama vip onana na vilanja wetu wakikutambua utasaidiwa.