Na wewe ulinunuliwa sokoni . . . . . ??

Na wewe ulinunuliwa sokoni . . . . . ??

Weye ulikuwa ushaanza onja utamu si hata vidudu ilikuwa bado.
Njoo nipe hela ya kununulua basi

Mh wewe si nilikukabidhi bikra yangu ukairarua?
Nakuja kukupa hela soon!
 
Kweli kabisa Bazazi tunaonekana washamba kwa kutojua vichochoro
"
Hawajui kuwa sisi tumefundishwa kupita barabara tena zile zilizo na viwango bora!
 
Last edited by a moderator:
Namkumbuka mama mmoja alikuwa anatuambia.... si hapa tuko bar,na mziki unapigwa,mwanaume anakufuata mwende mkacheze,nawe unainuka bila ajizi..hata kama humfahamu.. Na mkielewana inakuwa poa,sio enzi zenu hizi za vvu...
 
Walikua wanapiga game bila hofueeee!
 
achana na zamani... Ukiota moto kimgongomgongo binamu yako atakufa
 
Back
Top Bottom