Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Leo ni jumapili,tarehe kama ya leo "alinunuliwa sokoni" dada yangu (mdogo wangu) miaka mingi iliyopita.
"
Nimekumbuka jinsi ambavyo mama "alivyomnunua sokoni" wakati huo.
"
Nakumbuka mama aliondoka na kurudi baada ya siku nne na kurudi na dada "aliemnunua sokoni"
"
Siku hizi watoto "hawanunuliwi sokoni" tena.
"
Zamani hizo mwanamke hakwenda "kununua mtoto" hovyo hovyo.Mwanamke alifundwa na kupewa maadili ya "kununua mtoto sokoni"
"
Bila kujua maadili ya kuishi vyema na atakaekupa "hela ya kununua mtoto" wazee wa "mwenye hela" hawakukubali umkaribie
"
Natamani turudie enzi za "kununua watoto sokoni"
"
We need to go back to our for fathers!