Na wanawake waaminifu wapo sema hawana tako

Sijaelewa chochote
Pole sana mkuu
LCD stands for Liquid Crystal Display ambazo huwa referred as flat screens
TFT stands for Thin Film Transistor ni technology ambayo inaproduce high quality pictures in LCDs
CRO ni Cathode Ray OScilloscope.... ambayo hutumia kwenye mascreen ya chogo yale au hata Tv za chogo
Hizo ni lugha za kitechnical sana na zimebeba sifa halisi za wanawake wembamba na bonge mkuu
 
Inategemea, uaminifu wa mtu hauhusiani na viungo vyake vya mwili...

Ni vile unavyoyashinda majaribu, kuruka mitihani na kubakia kwenye misimamo yako...

mahondaw Wangu anatako la kufa mtu, ila amekua muaminifu sana kwangu...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom