Na wanaume hawapendi wanawake wa aina gani?


Kidhungu
 

As long as mumewe karidhika inatosha ila kazidi uvivu sana
 
Darwini umeshasema kama house girl anajua kupika zaidi ya mke..mke wa nini?Kwa maana hiyo unataka mke awe vyote!!
 
Darwini umeshasema kama house girl anajua kupika zaidi ya mke..mke wa nini?Kwa maana hiyo unataka mke awe vyote!!

Mwanamke anatakiwa ajue kupika, house girl nikama msaidizi tu. Ukiacha kila kitu afanye house girl afanye itakuja siku mwanaume anaamua achukue anayeweza yote.
 
Mwanamke anatakiwa ajue kupika, house girl nikama msaidizi tu. Ukiacha kila kitu afanye house girl afanye itakuja siku mwanaume anaamua achukue anayeweza yote.

Hapo kwenye kuweza vyote...kwani we unaoa ili ufanyiwe kazi?
 
Kwani mkiwa mnapendana mnafanya na interview za mapishi?? kupika ni utashi tu wa mtu
 
Hapo kwenye kuweza vyote...kwani we unaoa ili ufanyiwe kazi?

Mwanaume haoi ili apate mfanyakazi kwani angekua anataka mfanyakazi angemuweka mfanyakazi nyumbani na siku akiwa na nyege anaenda mitaa ya wanawake wanaouza.... amalizie kazi!!!


Tunaoa wenza lakini wanawake wengine wakishaolewa ndio wanaona basi mwanaume hana njia nyingine.

House girl alee watoto, apike, awapeleke watoto shuleni, afue, anyooshe, akawachukue watoto shuleni, usiku akawapeleke watoto wakalale.
Mama mwenye nyumba unachofanya ninini? huko kutoa uroda? kama ni uroda tu Mwanaume anaweza kwenda chukua CD mitaani.

Naona wanawake wengi wanajisahau wadhifa wao kama wenye nyumba. SIO KUSTAREHESHANA TU KWA NGONO.
 
bado kuna wanaume wanafikra za kitumwa!acheni umangi meza,shirikianeni na wake zenu!
 
Mke abaki kuwa mke si mfanyakazi wako, mshirikiane kwa kila kitu huku mkipeana moyo
 
Unless mnaendekeza culture za west, kubali usikubali kwa tamaduni zetu mwanamke asiyejua kupiga ana tatizo. Ila siku hizi wako wengi sana bongo. Pia wapo wale wasiokubali kushindwa. Ila ikiwajulia hawa, its normal.
 


Hivi wewe Darwin ni mwanaume wa karne ipi? Ni kaka wa Zinjanthropas au? Kabla hujasema huyapendi thibisha kuwa wewe huyatendi hayo kwa mwenzi wako
 
mke ambaye anataka kunikontrol cmpendi hata kduchu,ambaye anajfanya ananipenda sana kumbe ananipunga
 
Aunt zangu [caucasian] kuona hali ile iliwakera sana nakuaga kwamba wanaondoka.
Uncle akasema mbona mwaondoka mapema? wakasema hakutaweza kuvumilia hali ya mke wako.
[/I]

Mmh nadhani walikuwa wameshashiba hao ndo maana wakaaga!
 
Jamani kuna wanaume wana midomo utadhn wamezaliwa wanasema sipnd kbisa mijianaume yenye midomo mirefu km imezaliwa bagamoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…