Na Padri naye? Aisee

Na Padri naye? Aisee

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
521
Reaction score
88
Aisee, na padri naye anatumia mkorogo?
Inasikitisha, sijui ni MCongoman huyu?

attachment.php
 

Attachments

  • Mchungaji na mkorogo.JPG
    Mchungaji na mkorogo.JPG
    32.2 KB · Views: 1,680
Mmhh!hawezi kua padri!HAIWEZEKANI may be hao ni wasanii and they were acting a movie or something
 
Sio picha ya maigizo hii.
Hii ni kweli, huyu ni padri/mchungaji (sina uhakika wa dhehebu gani), hapa alikuwa anafungisha ndoa ya mpendwa.
Hakika siku hizi urembo wa ngozi ni changamoto kwa sisi wote wake kwa waume, cheers!



Mmhh!hawezi kua padri!HAIWEZEKANI may be hao ni wasanii and they were acting a movie or something
 
Mhhh...mbona kama ndio alivyo. Sio Mwenge hapo?
 
Ni vijana wa maigizo, angalia amevaa picha ya ndoa sio padri.
 
ha wewe utachapa na moto wa mungu
 
halafu binti akaungame dhambi kwa padri huyo!looo...
 
Si kila aliyebadilika rangi amejichubua jamani. Nina rafiki yangu ana fungus zinamsumbua miaka, Aga Khan wamempa midawa hiyo ukimuangalia maeneo yote ambayo anafunikwa na nguo ni mweupe pyee na maeneo yanayokuwa wazi wakati mwingi ni mweusi mweusi hususan kwenye viganja
 
Nahisi ni Actor, huoni hata nyusi amenyoa?
 
Ni padri wa kanisa katoliki manzese, ni mkongomani huyo. na ndivyo aluvyo wala hajichubui
 
dunia ni hatari sana ukiipenda inakupeleka kubaya
 
Hizi ni nyakati za mwisho ndiyo wakati wa kujipenda wewe mwenyewe kuliko kumpenda MUNGU.
 
Back
Top Bottom