NA MTUACHE TULALEEEE

Alietuma picha ni team lumumba poleeeee saaaaanaaa
 
Acha uongo ewe gamba sugu MAKAMANDA huwa hawasinzii mjengoni.
 
Msinitengeeeee, Ndugu zangu msinitenge...

Msinitengeeeee, Rafiki zangu msinitenge...

Siku ikifika, ikibidi nipumzike...

Kwenye makazi mapyaa, nipelekeni nipumzike, nimechoka jama...
 
Mokozi ntoe roho niepuke Hili balaa. .
Maisha nlichezea Leo hii nalala Na njaa
Chemsha bongo kabla hujapagawa
Chemsha bongo kabla hujapagawa
 
Kwani kuna kazi gani huko inayomlazimu mtu kuwa macho muda wote? Kama ni miswada inapitishwa kwa nguvu ya mil. 10.
 
Ni Mtazamo Rap inakuwa ni mikingamo...

Sasa Watoto wadogo wanajiita Watu wa makamo...

Wanakwenda hatua mbili wanarudi kumi na kujipongeza...

Bila kuzingatia hatua nane walizopoteza...

Hao ni mafukara wa haki zao na uwezo wao...

Wasiotambua nini na nini ni hatma zao...

Magwiji vichwa chini nadhani wanatunga sheria...

Lakini sheria msumeno isije ikawarudia...

Yes, maUNDERGROUND wanafanya Rap inang'ara...

Lazima muwe vinara imara kwenye msafara...

Rap na mazingaombwe abadani haviendani...

Msitegemee tawileeee iwaokoe katika Fani...

Ni vyema ukafikiri kabla ya kufanya maamuzi...

Tazama mbele usije ukanywa Chai kwa Mruzi...

Naamini Askari kibao, ni lazima upitie DEPO...

Vinginevyo ndugu yangu utakuwa unapaka rangi upepo...

Kama unapata Moja kwanini usipate na Mia?...

Hiyo inawezekana kwa wote mlio na Nia...

Sioni sababu za msingi kuomba kwenye Mitaa...

Kama una Kipaji iweje ufe na Njaa?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…