poisson Senior Member Joined Jul 17, 2016 Posts 130 Reaction score 42 Feb 7, 2017 #1 Walioleta neno mubashara, ni waharibifu wa lugha wanaoiga wakongo, ndio hawa wanaosema Muke ya mimi. Ukitamka neno hilo mbele yangu nakunasa kibao....
Walioleta neno mubashara, ni waharibifu wa lugha wanaoiga wakongo, ndio hawa wanaosema Muke ya mimi. Ukitamka neno hilo mbele yangu nakunasa kibao....
poisson Senior Member Joined Jul 17, 2016 Posts 130 Reaction score 42 Feb 7, 2017 Thread starter #2 ukweli ni kuwa Mubashara inamaanisha moja kwa moja "Live* ila nasikitika chombo kimoja cha habar kimelinadi sana hili neno kuonekana ni swala la mapenzi.. yaan wamepotosha maana kabisa..
ukweli ni kuwa Mubashara inamaanisha moja kwa moja "Live* ila nasikitika chombo kimoja cha habar kimelinadi sana hili neno kuonekana ni swala la mapenzi.. yaan wamepotosha maana kabisa..
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 Feb 7, 2017 #3 mbona ni neno la kiswahili hilo! au ulitaka liandikwe mbashara?
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,401 Reaction score 23,192 Feb 7, 2017 #4 Ndo mana joti alisema m-bushara
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Feb 8, 2017 #5 Mubashara kwani lina shida gani??