voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Ni video ya Siku Mh'Rais wa JMT alipokutana na kuwahutubia wahashamu maaskofu wa "TEC" uso kwa uso.
Msikilize mheshimiwa Rais alichokisema siku hiyo na kisha ulinganishe na kinachotokea sasa hivi nchini.
Rais Samia amekiri kwa kinywa chake na kuusifu mchango wa TEC Katika nyanja ya maendeleo nchini sambamba na serikali ya JMT.
View: https://youtu.be/SzL6DqNVOV0?si=vtHczog-cVACnP92
Je, aliyoyakiri na kuyatamka yeye mwenyewe Rais kwenye hiyo hotuba yake.
Mbona hatembei kwenye Reli yake mwenyewe?
Ni nini kimempata mpaka kukaa kimya huku waandamizi wake wakizidi kuboronga hadi kufikia kuuzuia waraka wa TEC usiandikwe kwenye press media nchi nzima?
Je, kuna shinikizo toka sehemu au kundi fulani dhidi ya mpendwa Rais wetu?
Time will tell!
Eeh Mola Inusuru Tanzania [emoji1241] [emoji813]