Na CUF TUJIPIME CDM SQUARE Ijumaa Ijayo

ila hawa jamaa kila siku wanajipima pale MASENZE(bakhresa) UWANJANI jangwani hawawezi pazito pale labda waandae nao maroli ya kuwahamisha waswazi wa manzese wawapeleke pale
 
Mfumo wa kusomba watu kuwapeleka mikutanoni tayari walishaiga mfumo wa mume wao CCM, Si mliona alipoppokelewa
M/Kiti wao Lipumba pale airport? Tuliona kanzu,bakora mikononi,kofia kwa sana. Ila safari hii nawashauri waende CUF squere pale Manzese watajaza watu kulingana na eneo lenyewe + abiria wa daladala
 
Back
Top Bottom